Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Wanawake wanapenda kuambiwa uwongo

Usijaribu kumuambia ukweli mwanamke utamkosa
Wanapenda uwongo + maigizo
Wanawake wanapenda kusikia ukamilifu wa jambo
Hawapendi kusikia kuhusu mchakato

Ili uishi nao vizuri basi jitahidi kua muongo na uwe kanumba mzuri
Hata kama umeshika jiwe mwambie hu ni mkate mpenzi wangu.
Sahihi kabisa, hii nimeiona Kwa mpenzi wangu ... Anakuwa excited na hicho utakachomwambia hajui nini utafany au mfanye kukimalisha
 
Hizi zinaweza kuwa sababu kuu, zinazowafanya wanawake wengi wasiwe na wapenzi wa kiume:-​
  • Kuwajibu wanaume wanao watongoza kwa lugha ya ukali​
  • Kuwadharau wanaume wanao watongoza kimuonekano na kumjibu kwa dhihaka​
  • Kuwadharau na kuwapuuza wanaume wenye kipato kidogo, wasiokuwa na mali kwa sasa.​
  • Kuwapenda wanaume wanao igiza maisha​
  • Kukimbilia kwa mwanaume mwenye kipato kikubwa​
  • Kukunja sura muda wote​
  • Kujifanya unajua kila kitu​
  • Kukosa lugha ya mahaba kwa uliyenaye​
  • Kujiona wewe ni spesho kuliko wengine​
  • Kupenda sana pesa kuliko utu​
  • Kutokuwa na maono katika maisha​
  • Kuwa muongeaji sana n.k​
Mkiacha haya mambo; mtafanikiwa kupata wapenzi wazuri na wanaojali.

Watu hawana wapenz na hamsemii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
 
Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
Tuna comment kutokana na uzi ulivyo mkuu
Sasa kwa heading hiyo ulitaka tuwasifie kama mama zetu waliotulea miezi 9 tumboni?

Lucky dude anasema “god bless women “
Hata mimi nasema mwenezi mungu awabariki wanawake wote duniani...

Ila ili uende nao sawa ndio hapo inahitaji akili yako
 
Ni kwel mkuu ila wanaume inabdi tuwe wanaume kwel wengi wanalia lia tu bila wao kuwa na msimamo ,mfano upendi kuombwa pesa kwenye mapnz mwambie kwa kunyooka nakutaka ila sitakupa pesa kama kigezo cha mapnz , mpe mwanamke pesa au msaada kwa wewe kupenda na sio yeye akuuendeshe , tatizo tunaishi maisha ya kuigiza ndio maana tuna lialia .
 
📌 mkuu
 
Back
Top Bottom