mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Sema sura hatuioni ....Angekuwa ukanda wetu huu, ingebidi kuuza mali zote za urithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema sura hatuioni ....Angekuwa ukanda wetu huu, ingebidi kuuza mali zote za urithi
Sura ya nini sasa, muhimu mali inajielezaSema sura hatuioni ....
asa si ndo raha yenyewe hiyo 😅Haijalishi....[emoji23] mara ubinuliwe, mara ugeuzwe.... Dah....
Ukute ana sura mbovu, inakua jauSura ya nini sasa, muhimu mali inajieleza
Haujawahi kuimagine ungekua mwanaume umembana mtu mahali[emoji23]asa si ndo raha yenyewe hiyo [emoji28]
awapi, labda nijaribu leoHaujawahi kuimagine ungekua mwanaume umembana mtu mahali[emoji23]
Ile view yake[emoji23] mbuzi kagoma, hatarii[emoji23]awapi, labda nijaribu leo
😅😂😂😂😂,aisee umewaza mbaliIle view yake[emoji23] mbuzi kagoma, hatarii[emoji23]
Kitu ambacho wanaume wengi hatuelewi ni kuwa mwanamke akikupenda huwezi struggle kumpata, hivyo mm maximum natumia wiki 1 tu kumtongoza mdada, siku 2 za kufahamiana naye, siku 5 za yeye ku-play hard to get, asipoeleweka ndani ya muda huo eti awe ananipa majibu ya dharau, matusi, ananiambia anakuja hlf asije, mara aniombe hela, mimi namkimbia.kwanini bora nyie wakati ndo mnaostrugle kutupata
Jamani jamanii 🙆Wanawake wanapenda kuambiwa uwongo
Usijaribu kumuambia ukweli mwanamke utamkosa
Wanapenda uwongo + maigizo
Wanawake wanapenda kusikia ukamilifu wa jambo
Hawapendi kusikia kuhusu mchakato
Ili uishi nao vizuri basi jitahidi kua muongo na uwe kanumba mzuri
Hata kama umeshika jiwe mwambie hu ni mkate mpenzi wangu.
Amekwambia watapata wapenzi wazuri na wanaojali. Sio wapenzi tu.Kwani kuna mwanamke hana mpenzi?
umejibu vyema sanaKitu ambacho wanaume wengi hatuelewi ni kuwa mwanamke akikupenda huwezi struggle kumpata, hivyo mm maximum natumia wiki 1 tu kumtongoza mdada, siku 2 za kufahamiana naye, siku 5 za yeye ku-play hard to get, asipoeleweka ndani ya muda huo eti awe ananipa majibu ya dharau, matusi, ananiambia anakuja hlf asije, mara aniombe hela, mimi namkimbia.
Mwanamke akitamani zaidi, hata siku hiyo hiyo mnayokutana unaweza mpata, au ndani ya siku mbili.
Nimegundua huu ujinga wa kufuatilia mwanamke miezi 8 hadi mwaka ni kupoteza muda, mwanamke yoyote anajua mwanaume anayemtaka, akimwona ndani ya sekunde chache tu kama sisi, anajua huyu mwanaume ni type yangu au la, jibu tayari analo kichwani Leejay49
Uko sahihi kiasi kikubwaKitu ambacho wanaume wengi hatuelewi ni kuwa mwanamke akikupenda huwezi struggle kumpata, hivyo mm maximum natumia wiki 1 tu kumtongoza mdada, siku 2 za kufahamiana naye, siku 5 za yeye ku-play hard to get, asipoeleweka ndani ya muda huo eti awe ananipa majibu ya dharau, matusi, ananiambia anakuja hlf asije, mara aniombe hela, mimi namkimbia.
Mwanamke akitamani zaidi, hata siku hiyo hiyo mnayokutana unaweza mpata, au ndani ya siku mbili.
Nimegundua huu ujinga wa kufuatilia mwanamke miezi 8 hadi mwaka ni kupoteza muda, mwanamke yoyote anajua mwanaume anayemtaka, akimwona ndani ya sekunde chache tu kama sisi, anajua huyu mwanaume ni type yangu au la, jibu tayari analo kichwani Leejay49
Unajua kununa sana, hebu acha hizo, ulivyo mrembo sasa😂Hapo kwenye kukunja sura muda wote, ngoja nijirekebishe nione matokeo[emoji2957]