Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 695
- 1,960
Mangi sina Kikuyu?[emoji3]Kuna muda huwa napanga kunywea nyumbani, lakini ugimbi ukishaanza kupanda kichwani nitaondoka tu niende bar ya mbele kidogo nikanywe bia huku nikihudumiwa na wahudumu wenye matacle makubwa.
Ila bia za mchana na asubuhi huwa nashitulia tu kwa mangi sina.