Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

Mangi sina Kikuyu?[emoji3]
 
Company,
Kilaji Cha peke yako hakinogi[emoji4]
 
Muziki hata nyumbani unaweza kuwepo, kwa hiyo sababu uliyoitoa inaweza kuwa sio jibu sahihi
Sio jibu sahihi kwa mujibu wa nani? Kwanza starehe sio fixed kwamba lazima ukose kitu sehemu ila ukakipata sehemu ingine ndo ikawa starehe..kimsingi starehe ni kuifurahisha nafsi yako...mfano mimi napenda mziki na nikienda bar mziki unapigwa mzuri unakuta hata nyimbo zingine sizijui nazishazam maisha nayaona yapo fresh...tena sina kampani ya kuwabeba sijui nini na nini napiga kilaji huku nasikiliza playlist nzuri..stim zinapanda baadae narudi zangu home nalala wiki ingine nafanya hivyo hivyo...
 
Kwan huwa unatumia mkuu choo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…