Shida iliopo hapa ni kazi gani Yesu aliifanya hiyo siku ya sabato! Na pia Yesu hakuvunja sabato!
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....naona minority wakishambuliwa mods hawana tatizo, ungeguswa uislamu na ukatoliki zisingefika post kumi thread imefungwa au kufutwa kabisa.
sioni sababu kwa nini wasipewe mitihani jumapili ? kwa nini jumapili inalindwa hivi?
Someni wakolosai 2:16,17 msihukumiane na mambo ya sabato si kitu.hosea 2:11
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.
Jumapili ni siku ya Mungu Jua Miungu ile iliyokatazwa na Mungu alie hai Mungu wa Ibrahimu.... Fanya utafiti utalijua hili hadi kubadilishwa siku ya Kusali na kupumzika from Jumamosi hadi Jumapili... ni Njia kuu ya Shetani kupotosha watu wengi kwani imeandikwa watakoenda Mbinguni ni Wachache Shetani at work.... na kama huna imani lazima akuchukue tu Kwani Mbinguni ni patakatifu hawaiingii watu wachafu.... Isomeni vizuri Biblia hakika Mungu atawapa uwezo wa kuielewa na si kuipotosha.....
Shetani anawapa watu Nguvu za kuichukia Sabato na kuwafanya watu waione ngumu wakati si kweli Sabato ni nzuri sana. Tenda mambo yako yote siku sita ila Sabato ni Siku ya Bwana Mungu wako... uikumbuke na kuitakasa....
Mods wenyewe ni watu wa Jumapili hii kitu hawawezi kuifunga.... Wanawaogopa Waislamu tu kwani Wasabato si walipizaji...
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....
Tatizo lililopo hapa ni Moja kaka, kama ukiendelea kuwa na Moyo mgumu na kutokuubali ukweli basi maongez yetu ni bure. Pia tutaleta Mabishano kitu ambacho Biblia imekataza. Mkuu si nimekuwekea hapo majibu ambayo Yesu aliwajibu Wayahudi??? Embu rudia tena kusoma.
haha,cku ya kwanza ya juma ni jumamosi,mosi=moja/kwanza=meimosi=1/5,sabato si jumamox.mawazo lakn
Jitetee kwa maandiko sio kwa siasa.Tupe kifungu cha biblia na ukidadavue hapa.
ilaniwe teku mungu aishie milele atende kazi katka hili amen
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....
Wewe unaonekana ni mfuasi wa no 666 na kwanini hiyo mitihani isifanywe siku za masomo zinzojulikana tangu awali?
Mkuu Wasabato= Mafarisayo.....Niwabishi sana...Hata Yesu alipata shida na hawa watu sana...Lakini Yesu aliwachana live.....Itabidi tuwaelimishe hivi hivi taratibu wataelewa..
Mkuu Wasabato= Mafarisayo.....Niwabishi sana...Hata Yesu alipata shida na hawa watu sana...Lakini Yesu aliwachana live.....Itabidi tuwaelimishe hivi hivi taratibu wataelewa..
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.
Amina, Mungu ahusike kwa kweli.
Someni wakolosai 2:16,17 msihukumiane na mambo ya sabato si kitu.hosea 2:11
Unajua wenzenu Masalia walifanywaje pale SAUT baada ya kuleta ushenzi kama huu.....Kaulize SAUT J/ mosi mitihani kama kawaida na Wasabato wa pale wana adabu kweli......Inaelekea Moravian waliwachekea sana...
Ni kweli kabisa hatupaswi kuhukumiana.Soma Warumi 14:1-....Yeye aliye dhaifu wa imani,mkaribisheni,walakini msiyahukumu mawazo yake....Kumbe anatusihi tusiwahukumu walio dhaifu wa imani(eg.wavunja sabato)