Jumapili ni siku ya Mungu Jua Miungu ile iliyokatazwa na Mungu alie hai Mungu wa Ibrahimu.... Fanya utafiti utalijua hili hadi kubadilishwa siku ya Kusali na kupumzika from Jumamosi hadi Jumapili... ni Njia kuu ya Shetani kupotosha watu wengi kwani imeandikwa watakoenda Mbinguni ni Wachache Shetani at work.... na kama huna imani lazima akuchukue tu Kwani Mbinguni ni patakatifu hawaiingii watu wachafu.... Isomeni vizuri Biblia hakika Mungu atawapa uwezo wa kuielewa na si kuipotosha.....
Shetani anawapa watu Nguvu za kuichukia Sabato na kuwafanya watu waione ngumu wakati si kweli Sabato ni nzuri sana. Tenda mambo yako yote siku sita ila Sabato ni Siku ya Bwana Mungu wako... uikumbuke na kuitakasa....
Mods wenyewe ni watu wa Jumapili hii kitu hawawezi kuifunga.... Wanawaogopa Waislamu tu kwani Wasabato si walipizaji...