SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Shida iliopo hapa ni kazi gani Yesu aliifanya hiyo siku ya sabato! Na pia Yesu hakuvunja sabato!

Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.
 
naona minority wakishambuliwa mods hawana tatizo, ungeguswa uislamu na ukatoliki zisingefika post kumi thread imefungwa au kufutwa kabisa.

sioni sababu kwa nini wasipewe mitihani jumapili ? kwa nini jumapili inalindwa hivi?
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....
 
Someni wakolosai 2:16,17 msihukumiane na mambo ya sabato si kitu.hosea 2:11

Ni kweli kabisa hatupaswi kuhukumiana.Soma Warumi 14:1-....Yeye aliye dhaifu wa imani,mkaribisheni,walakini msiyahukumu mawazo yake....Kumbe anatusihi tusiwahukumu walio dhaifu wa imani(eg.wavunja sabato)
 
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.

Jitetee kwa maandiko sio kwa siasa.Tupe kifungu cha biblia na ukidadavue hapa.
 
Jumapili ni siku ya Mungu Jua Miungu ile iliyokatazwa na Mungu alie hai Mungu wa Ibrahimu.... Fanya utafiti utalijua hili hadi kubadilishwa siku ya Kusali na kupumzika from Jumamosi hadi Jumapili... ni Njia kuu ya Shetani kupotosha watu wengi kwani imeandikwa watakoenda Mbinguni ni Wachache Shetani at work.... na kama huna imani lazima akuchukue tu Kwani Mbinguni ni patakatifu hawaiingii watu wachafu.... Isomeni vizuri Biblia hakika Mungu atawapa uwezo wa kuielewa na si kuipotosha.....

Shetani anawapa watu Nguvu za kuichukia Sabato na kuwafanya watu waione ngumu wakati si kweli Sabato ni nzuri sana. Tenda mambo yako yote siku sita ila Sabato ni Siku ya Bwana Mungu wako... uikumbuke na kuitakasa....

Mods wenyewe ni watu wa Jumapili hii kitu hawawezi kuifunga.... Wanawaogopa Waislamu tu kwani Wasabato si walipizaji...

Masalia (Mafarisayo) bana!!!! Kwi kwi kwi....
 
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....

Hapa hakuna masalia ndugu.Pia naomba uthibitishe ni jinsi gani tunayakanyaga maandiko.Kumbe kutii sheria za Mungu ni upotofu!
 
Tatizo lililopo hapa ni Moja kaka, kama ukiendelea kuwa na Moyo mgumu na kutokuubali ukweli basi maongez yetu ni bure. Pia tutaleta Mabishano kitu ambacho Biblia imekataza. Mkuu si nimekuwekea hapo majibu ambayo Yesu aliwajibu Wayahudi??? Embu rudia tena kusoma.

Mkuu Wasabato= Mafarisayo.....Niwabishi sana...Hata Yesu alipata shida na hawa watu sana...Lakini Yesu aliwachana live.....Itabidi tuwaelimishe hivi hivi taratibu wataelewa..
 
haha,cku ya kwanza ya juma ni jumamosi,mosi=moja/kwanza=meimosi=1/5,sabato si jumamox.mawazo lakn

Wewe ni Junya kweli... Hivi wafahamu jumamosi ni neno la kiswahili? jina hswa la siku ya Saba ni Sabbath Waingereza waliitafsiri Sabato kuwa Saturday Waswahili wakatafsiri Jumamosi... Siku za zamani zilikuwa zimepewa majina kwa Namba na si majina Saba ni Sabato... Waislam ukiwauliza watakuambia Al-hamis ni siku ya Tano ya Juma na Ijumaa ni siku ya Sita.... wewe hiyo moja yako ndio ushapotoshwa na Shetani na endelea kupotoka tu ila fahamu kuwa kila mtu duniani atakuja sikia habari na ukweli wote na ataamua achague upande wa njia sahihi ya Mungu au njia za Wanadamu.....
 
ilaniwe teku mungu aishie milele atende kazi katka hili amen

Unajua wenzenu Masalia walifanywaje pale SAUT baada ya kuleta ushenzi kama huu.....Kaulize SAUT J/ mosi mitihani kama kawaida na Wasabato wa pale wana adabu kweli......Inaelekea Moravian waliwachekea sana...
 
Wewe unaonekana ni mfuasi wa no 666 na kwanini hiyo mitihani isifanywe siku za masomo zinzojulikana tangu awali?

Jibu hoja wewe, no 666 ndiyo nini? Unatafuta nini vyuoni si ukae kanisani uhubiri injili?
 
Mkuu Wasabato= Mafarisayo.....Niwabishi sana...Hata Yesu alipata shida na hawa watu sana...Lakini Yesu aliwachana live.....Itabidi tuwaelimishe hivi hivi taratibu wataelewa..

Amina, Mungu ahusike kwa kweli.
 
Mkuu Wasabato= Mafarisayo.....Niwabishi sana...Hata Yesu alipata shida na hawa watu sana...Lakini Yesu aliwachana live.....Itabidi tuwaelimishe hivi hivi taratibu wataelewa..

Kwani Yesu aliwachanaje live?
 
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.

Taratibu Mkuu tutawekana sawa tu! Mathayo 12:1-14 ukiisoma utaona kisa cha Mfalme Daudi na Yesu anasema nini juu ya Hilo! Na ukisoma ule mstari wa12. Yesu anasema Ivi, " Of how much more value then is a man than a sheep? Therefore it is lawful to do good on the sabbath" Haya Ndio Yesu aliyowambia mafarisayo! Sasa uvunjifu wa sabato uko wapi hapa kwa yesu na wanafunzi wake? Au moyo wangu ni mgumu nishindwe kuelewa hili? Na biblia Yangu haisemi Yesu alivunja sabato! Ila ukisoma Mathayo 12:10 biblia Yangu inaniambia hao mafarisayo ndo Walikua wanatafuta kosa la kumshitaki kuotokana na uponyaji katika siku ya sabato na Sio kufanya kazi Kama kazi!
 
tuachieni dini yetu...Muogopeni Mungu...kutoka 20.8 ikumbuke siku ya sabato,diku sita fanya kazi ......." hiyo ya yakaisari mpe kaisari ni kwenye mambo ambayo haitakuzuiwa wewe ussitunze sabato takatifu ya Bwana Mungu mfano unatoa sadaka kanisani lakini ni lazima ulipe kodi pia kwa serikali..ndo hapo ya kaisari unampa kaisari...Pambano kuu linaendelea Mungu awe upande wetu.... Mwenye haki ataishi kwa imani...Mungu awabariki wote
 
Unajua wenzenu Masalia walifanywaje pale SAUT baada ya kuleta ushenzi kama huu.....Kaulize SAUT J/ mosi mitihani kama kawaida na Wasabato wa pale wana adabu kweli......Inaelekea Moravian waliwachekea sana...

Upo sahihi, nina ndugu yangu hapa nyumbani amemaliza mwaka huu hapo SAUT, na imenibidi nimwulize kuhusu hili jambo. Unalosema ni kweli, ameniambia kuwa Wasabato wanafanya mitihani kama kawaida J'mosi.
 
Ni kweli kabisa hatupaswi kuhukumiana.Soma Warumi 14:1-....Yeye aliye dhaifu wa imani,mkaribisheni,walakini msiyahukumu mawazo yake....Kumbe anatusihi tusiwahukumu walio dhaifu wa imani(eg.wavunja sabato)

Hebu malizia kusoma sura yote hiyo.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom