Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

Inawezekana alijaribu kusugua kichwa ukutani au anywhere ili kuharibu nervous akafeli.

Huwa inatumiwa huko majuu zaidi, ikifanikiwa unakufa.

Anyways kuna mazingira unafikia unatamani kifo.

Kuharibu ‘nervous’? Nerves gani? Nani amewahi kujisugua kichwa ukutani akaharibu nerves akafa? Naomba nijifunze.
 
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu.

By Maryasumta Eusebi

Moshi.

Sabaya na wenzake wanne wanakabiliwa na mashtaka saba likiwamo la uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi wakati akiwa Mkuu wa wilaya hiyo.

Juni Mosi mwaka huu, Sabaya na wenzake wanne walipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kusomewa mashtaka yanayowakabili mbele ya hakimu mkazi Mfawidhi, Salome Mshasha.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey.

Hata hivyo Sabaya ambaye ni mshtakiwa namba moja katika kesi hiyo alifikishwa mahakamani hapo leo kichwa chake kikiwa kimeviringishwa bandeji huku mkononi akiwa na kifaa cha kuchomekea dripu.

Awali wakili wa Sabaya, Fridolin Bwemelo aliieleza mahakama hiyo kuwa Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa kutokana na uvimbe aliokuwa nao na kwamba anahitaji kupata uangalizi wa karibu.

"Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa na sio upasuaji mdogo hivyo anahitaji apate huduma muhimu na uangalizi wa karibu,"

Wakamtaka mwendesha mashtaka wa kesi hiyo kuharakisha upelelezi wa kesi hiyo kwa kuwa walishaieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umekamilika.

Wakili upande wa mashtaka Sabitina Mcharo aliieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba wanasubiri kibali kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali cha kuipa uwezo mahakama hiyo kuendelea kuisikiliza kesi hiyo.

Hata hivyo, Hakimu mkazi wa mahakama hiyo aliyekuwepo, Elibariki Philly aliahirisha kesi hiyo mpaka Agosti 12 mwaka huu.

Chanzo: Mwananchi
afe
 
Huyo Mama yao SSH TAKUKURU inaelekea wana mpango wa kumchafua Kuna mtuhumiwa wa TAKUKURU atafia mikononi mwao na hapo mama SSH unaingizwa
 
Ni kweli aliwahudhi na kuwatesa wengi, kwa mapito anayopitia anaweza kutusaidia kiwaambia vijana wengine wakipata mmadaraka wawe watu wema, atakuwa mshuhudiaaji mzuri.Tunamwombea aishi, apewe nafasi na Mungu maana akifa mapito yake hayatakuwa funzo kwa wajinga wajao.
Nini? Kwani huoni hata sasa bado kuna wengine tena wengi tu wanaendeleza ujinga aliofanya? Haya mambo kama hayaleti mafunzo yoyote. Kama ni ni mafunzo basi Sabaya mwenyewe asingefanya aliyokuwa anafanya kwani kabla yake kuna watu wengi waliokwishafikwa na majanga baada ya kutumia vibaya madaraka yao.
 
Nimewaza sana huo uvimbe umekujaje ghafal mwanzo tuliona masihara vile.
Kesi zina mambo mengi. Inawezekana hata hii ikawa ni usanii tu unachezwa ili aonewe huruma. Watu wanapoona kesi zimekaa vibaya huwa wanakuwa desparate kufanya chochote ili kujiokoa.
 
Inawezekana alijaribu kusugua kichwa ukutani au anywhere ili kuharibu nervous akafeli.

Huwa inatumiwa huko majuu zaidi, ikifanikiwa unakufa.

Anyways kuna mazingira unafikia unatamani kifo.
Mama zile ni Movies sio uharisia
 
"General" nonsense.

Huo upasuaji wa kichwa alienda kufanyiwa kwa amri ya mahakama iliyotolewa lini? au inawezekana gerezani wakatoa ruhusa bila kuwasiliana na mahakama?
Tunapigwa changa la macho
 
Kesi zina mambo mengi. Inawezekana hata hii ikawa ni usanii tu unachezwa ili aonewe huruma. Watu wanapoona kesi zimekaa vibaya huwa wanakuwa desparate kufanya chochote ili kujiokoa.
Kwa hiyo lile livimbe loote kalitengeneza?
 
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu.

By Maryasumta Eusebi

Moshi.
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu.

Sabaya na wenzake wanne wanakabiliwa na mashtaka saba likiwamo la uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi wakati akiwa Mkuu wa wilaya hiyo.

Juni Mosi mwaka huu, Sabaya na wenzake wanne walipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kusomewa mashtaka yanayowakabili mbele ya hakimu mkazi Mfawidhi, Salome Mshasha.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey.

Hata hivyo Sabaya ambaye ni mshtakiwa namba moja katika kesi hiyo alifikishwa mahakamani hapo leo kichwa chake kikiwa kimeviringishwa bandeji huku mkononi akiwa na kifaa cha kuchomekea dripu.

Awali wakili wa Sabaya, Fridolin Bwemelo aliieleza mahakama hiyo kuwa Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa kutokana na uvimbe aliokuwa nao na kwamba anahitaji kupata uangalizi wa karibu.

"Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa na sio upasuaji mdogo hivyo anahitaji apate huduma muhimu na uangalizi wa karibu,"

Wakamtaka mwendesha mashtaka wa kesi hiyo kuharakisha upelelezi wa kesi hiyo kwa kuwa walishaieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umekamilika.

Wakili upande wa mashtaka Sabitina Mcharo aliieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba wanasubiri kibali kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali cha kuipa uwezo mahakama hiyo kuendelea kuisikiliza kesi hiyo.

Hata hivyo, Hakimu mkazi wa mahakama hiyo aliyekuwepo, Elibariki Philly aliahirisha kesi hiyo mpaka Agosti 12 mwaka huu.

Chanzo: Mwananchi
Tunajifunza mengi kwa mkasa wa Sabaya.
 
Na bado atateseka sana huyu hayawani damu alizomwaga haziwezi kumuacha salama.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai Mh Lengai Ole Sabaya amefamyiwa operesheni ya kichwa juzi Jumatano

Taarifa hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Sabaya Wakili msomi Helen jijini Arusha

Source Star tv
 
Alikuwa na uvimbe wa kawaida kichwani. Ni kichwani, siyo kwenye ubongo. Huenda ndiyo wameitoa.
sabaya-pic-data.jpg

Watu ni smart sana. Huenda hiyo ni njia ya kujitetea. Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom