Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

Non bailable offence + vikwazo vya kiafya at the same time... Dunia mitihani sana!

Wish him quick recovery.

-Kaveli-
 
Sema mfungwa bhana,huo uheshimiwa unatokea wap????
Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai Mh Lengai Ole Sabaya amefamyiwa operesheni ya kichwa juzi Jumatano

Taarifa hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Sabaya Wakili msomi Helen jijini Arusha

Source Star tv
 
Mbona alipokuwa uraiani hakuwa na hilo liuvimbe liliibika ghafla mahakamani ila Sabaya angekufa tu maana kama vile hana maana yoyote Duniani
 
Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai Mh Lengai Ole Sabaya amefamyiwa operesheni ya kichwa juzi Jumatano

Taarifa hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Sabaya Wakili msomi Helen jijini Arusha

Source Star tv
SASA nimeamini kweli Akili zako ni ndogo sana
Eti SABAYA ni MKUU wa WILAYA ya HAI kweli Mkuu hujui Sabaya ni Raia kama Wewe anazurura kama wewe
 
Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai Mh Lengai Ole Sabaya amefamyiwa operesheni ya kichwa juzi Jumatano

Taarifa hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Sabaya Wakili msomi Helen jijini Arusha

Source Star tv
Sabaya hajawahi kuwa Mheshimiwa
 
Tulijuwa kwa matendo yake kuwa ana matatizo kichwani lakini hatukutegemea matatizo kuwa makubwa kiasi hichi mpaka kutokeza nje!
 
Back
Top Bottom