Mipango mikakati ya kumchomoa tarehe 15 [emoji23]Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Wangemuua kabisaa kwani YEYE kauwa wangapi? Aliowauwa nao kina walipenda kuishi kama yeyeKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Gerezani huko ni "underworld"Ni vizuri tukapata taarifa juu ya hili. Sabaya alikuwa kiongozi, askari kupata ujasiri wa kumshambulia kiongozi si bahati mbaya! Hata kama humpendi hii si sawa ....
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ni kweli bro. Hata mimi nimeshakoswa koswa mara kadhaaHuko yoyote Ana kwenda tu
Ova
Ukiwa mkuda uraianiMipango mikakati ya kumchomoa tarehe 15 [emoji23]
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
PoleNi kweli bro. Hata mimi nimeshakoswa koswa mara kadhaa
YeahKiboga
Tunamsubiri kama mpira wa kona, tunataka tuzae naye!Sisi hatuwezi kulipa ovu wa ovu,Huyu bwana asamehewe jamani,mwoneeni huruma
Hivi ulikuwa unafuatilia kipindi kile anapelekwa mahakamani? Kuna nyakati alikuwa anachrchemea ulijua ni kwanini?Ni vizuri tukapata taarifa juu ya hili. Sabaya alikuwa kiongozi, askari kupata ujasiri wa kumshambulia kiongozi si bahati mbaya! Hata kama humpendi hii si sawa ....
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
unajiona mandonga.Hakuna mwenye ujanja wa kumgusa huko nje kwenu. Huko nje yote ni majibwa koko tu.
Wameshindwa kumgusa Makonda ndiyo wamguse Sabaya??
Makonda akionekana mitaa Mwenge, Kariakoo, Manzese, Sinza, Posta wanaume wa Dar wanamkimbilia kupiga naye selfie na kujipiga selfi ili atokee kwenye picha zao.
Dunia duara,Sabaya anaweza akarudi kula asali akawafanyia nongwa hao askari wakafukuzwa,tutakuwa na Taifa la visasiMjinga kabisa, anajifanya kuleta jeuri akidhani bado ana yale madaraka yaliyompa kiburi cha kufanyia watu ukatili.
...ukimdharau bwana jela ili hali upo chini yake lazima itakula kwakoPole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Nyookoooo....Akitoka tu anakuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hao asikari wamsubiri.
Kama amefanyia watu unyama basi ni kwa kutumia nguvu ya dola, na ndio hiyo hiyo iliyotumika kumshambulia gerezani.yule atobolewe hata macho ni sawa tu, amefanyia watu unyama sana huko arusha na moshi
Wamwondolee kabisa hiyo pumzi akaungane na JIWE wake huko chato.
TetesiKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
🤣🤣🤣 Cubana chief priestSasa hivi huyo ni no rinda.