Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

Magufuli alikuwa analipeleka Taifa pabaya, yaani hawa majambazi ndiyo aliona wanafaa kutuongoza wananchi wanyonge?
 
Bashite ni mjanja yeye kaamua apige kimya
 
Anatia huruma jamaa...kipindi cha mwanzo kama alikuwa na uhakika atashinda sasa mambo yamemuendea mrama pole sana kijana.

Imeniuma sana kwa mfanyabiashara kufanyiwa ivyo sheikh. Kaitafuta hela kwa jasho wanakuja wa2 from nowhere kuzichukus kiulaini. Dahh.
 
Sema Mamlaka yake ya uteuzi aliiona kama Mungu yaani. Mamlaka ilitangaza kuwa matajiri wataishi kama shetani na hiyo kazi wakapewa vijana wa hovyo kina Sabaya.
 
Tuliwaambia vibwengo wake wakawa wanakaza fuvu humu.
 
Ukiangalia picha hyo unaona macho yamevimba kwa kilio.

Maisha yapo speed Sanaa.
Kuna watu walilia kipindi cha magufuli,wanakuja kucheka kipindi cha Samia,kuna watu walicheka kipindi cga magumu wanakuja kulia kipindi cha Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…