Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Itaonekana tu mkuuMpaka Ionekane Ikitendeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaonekana tu mkuuMpaka Ionekane Ikitendeka
Anarudi Analia..Anatia huruma jamaa...kipindi cha mwanzo kama alikuwa na uhakika atashinda sasa mambo yamemuendea mrama pole sana kijana.
Kama binaadamu inauma sema basi tu.Anarudi Analia..
Anatia Huruma..
We acha tu!Maisha haya!
Bashite ni mjanja yeye kaamua apige kimyakwakweli maisha hayana usawa kabisa....yani jamaa alikuwa anatembelea magari huku akilindwa na walinzi wenye bunduki...leo hii yeye ndie anaelindwa na bunduki ili asitoloke...tutendeane mema jamani kesho yetu hatuijui...kifo cha mwendazake kimekuwa pigo kubwa sana kwa wengi...sijui bwana albert bashite yupo na hali gani huko aliko...
maana kwa ninavyomjua mimi bashite hivi sasa atakuwa yupo kanisani anajiliza tu...!
Anatia huruma jamaa...kipindi cha mwanzo kama alikuwa na uhakika atashinda sasa mambo yamemuendea mrama pole sana kijana.
Makonda naye angefunguliwa mashataka. Hivi kweli hata Mo bado anaogopa kumfungulia mashtaka?
Nimekuelewa Mzaramo mwenzio''Mungu kibidu yaakubidula mkono wa kumoso kuodila'' ,,,, maneno yetu wazaramo hayo🚶♂️
Mkuu yakiwa na maana!?''Mungu kibidu yaakubidula mkono wa kumoso kuodila'' ,,,, maneno yetu wazaramo hayo[emoji2211]
He😮 kumbe na gwee wa ukae, haya kuja uzalamoni kokwala kwai lumbu janguNimekuelewa Mzaramo mwenzio