Ujinga mkubwa sana wanauzusha hao jamaaInawezekanaje mtu akajua kuandika lakini akashindwa kutumia akili? Mbowe ndiye aliyemuweka Jambazi mahabusu?
Jamaa hatumii akili kuandika..!! Mikono yake inapata taarifa toka sehemu tofauti na akiliChadema ndio waliomshitaki Sabaya?
Amandla...
Clip ilionyeha wanavamia ili waibe simu na laki tatu? Hujui kuwa Mbowe anahusika?Kwani anashughulikiwa kwa sababu ya Mbowe?
Mimi tu kwa ile clip niliyomuona wamemvamia yule Mwarabu wa Arusha kihuni naunga mkono ashughulikiwe ipasavyo na akipatikana na hatia atumikie kifungo stahiki.
Una post za katoto haswa...Clip ilionyeha wanavamia ili waibe simu na laki tatu? Hujui kuwa Mbowe anahusika?
Sabaya ameshitakiwa ARUSHA mjini.Clip ilionyeha wanavamia ili waibe simu na laki tatu? Hujui kuwa Mbowe anahusika?
Mbowe ndio serikali? Ndiye aliyemuweka ndani?Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao...
Mkuu,Nahisi umekijibu ukidhani mimi nipo pamoja na Sabaya... umekosea kabisa... Huyo mtesi waka siwezi kuwa upande wake
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao...