Sabaya ataporudi uraiani kwa ushindi mkuu, Mbowe na wenzake watajisikia vipi?

Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
huwa hamchukui hatua hadi muangukie pua.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Anzisheni "Movement"!Muiite "Free Sabaya" au "Sabaya the hero" au "The Kidnapper himself"! Stupids!
 
Nchi inawashinda nyie mnaangaika na kelele za chadema na mbowe.hivi unadhani hizo propaganda jinga zitawapeleka miaka mingapi mbele au unaona watanzania wamerithi ujinga milele.
 
Clip ilionyeha wanavamia ili waibe simu na laki tatu? Hujui kuwa Mbowe anahusika?
Kwani huyo Lengai Ole Sabaya ni nani wako? Mbona unashindwa kabisa kuficha mahaba yako kwake? Ni mume wako, au ni mmoja wa michepuko yake?

Yaani umejitoa kabisa ufahamu! Ili tu kumtetea huyo kunguni wako! Kesi iko mahakamani! Ameshtakiwa na Jamhuri!! Ila katika hali ya kushangaza, unamtuhumu Mbowe na Chadema, kana kwamba wao ndiyo Jamhuri!!

Kazi kweli kweli!!
 
Acha hasira, tumia macho ya tatu kupambanua mambo. Hata kama unamchukia kwa kuhakikisha Mbowe anakosa ubunge Hai lakini nae ana haki.

Tumia macho ya tatu kupambanua mambo.
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Anayetamani sabaya arudi uraiani basi aache kulalamika juu tozo mpya za kodi kwenye miamala..
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Unayo mahaba ya dhati kwa Sabaya hadi unapoteza timamu yako ya akili. Hivi leo hii Mwendesha mashtaka afanye mambo kwa kumfurahisha Mbowe?
 
Hapa Tanzania mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai tuliona mkuu.
 
Sabaya kashtakiwa na Jamhuri. Mbowe si shahid wala si mlalamikaji, anaingiaingiaje mzee?
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Kamanda Mbowe lazima kuna Mahala alikushika Tako
Sio Bure
 
Kwani Mbowe ndio mkuu wa gereza Kisongo??

Mbowe ni hakimu au wakili wa hiyo kesi??

Ifike mahali mjue huyo dogo ni shetani miongoni mwa mashetani wa serikali ya kishetani iliyokua ikiongozwa na shetani
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Kasome historia ya sungusungu.Akirudi na watu wakiwa wanaamini kuwa aliwatesa sungusungu itachukua mkondo wake
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
Hakuna kazi mojawapo ya sabaya iliyotukuka kama ya kumgaragaza mbowe. Ndio maaana wanaufipa wote walishangilia hata kuchochea uongo juu ya sabaya. Nihasira zao tuuu kwakuwa kijana wawatu aliendesha mapambano juu ya kumgaragaza mbowe. Kijana atashinda na atarudishwa kwenye nafasi yake ya awaliiii
 
Back
Top Bottom