Sabaya ataporudi uraiani kwa ushindi mkuu, Mbowe na wenzake watajisikia vipi?

Na bado kesi ingine kuharibu shamba la Mbowe.....nayo ipo mezani mshitakiwq huyo atakaa sana huyo dogo akija kutoka atakuwa amekipa sana fidia mlango nyuma....sio chini niaka 5 ....atakuwa mufilisi kiuchumi na kisiasa
 
Msipomtaja Mbowe na Lisu na Chadema huwa kuna kitu kinawasumbua eeeh... Wana wake zao bhana... Achaneni nao... Heshimuni ndoa za watu bhana🤣🤣
 
Kwa kuwa tunafahamu hadaa tunazo fanyiwa na wanaojiona raia daraja la kwanza,na kujipa umiliki wa taifa hili tena kwa hila na matumizu mabaya ya mamlaka,hatuta lishangaa hilo likitokea.Kwani ya weza kuwa wewe ndio mratibu wa hadaa hiyo kwa jukumu ulilojipa.
 
Kwakuwa UJINGA ni MZIGO basi ngoja tukutue kidogo kama utakubali lakini
1) kipenzi chako hajashitakiwa na Mbowe so wakuona aibu ni aliyeshtaki yaani takukuru et al
2) hayo usemayo nikuidhalilisha serikali maana ndiyo ilimsimamisha kazi tena ofisi kuu sidhani wali"fosiwa" na mbowe
3)kiongozi kuwekwa ndani tuu nikuonesha hauaminiki, hata ukishinda kesi maana hata wahalifu hutokea kushinda wakati fulani
4) jifunze kutetea haki sio MTU japo kutetea MTU ni haki yako unaweza kutetea hata mashoga japo ni upuuzi.
5) prosecution wanahangaika? niwatu? Hapo sasa muone rasi simba akusaidie kiinglish!! Unajiaibisha kijanaa
 
Kusoma thread za mtu mjinga kama wewe ni kupoteza muda
 
Wee jamaa nilishakwambia kuwa una option moja tu ya kuondoa sonona iliyokuganda nayo ni kufa. Vipi nikuitie manka mushi wa kichaga akuchagulie aina ya kifo?
 
Yaani chadema ukiwabana kwenye maslahi lazima wakuzushie jambo hawana maana kabisa
 
WATU WATAMUUWA
 
Sabaya akirudi mtaani, CCM impe cheo chenye ulinzi wa kutosha. Raia watachukua maamuzi magumu kwa makosa yote aliyoyafanya.
Wawe serious na carefully sana kwasababu nae pia Sabaya ana crew ya Majamaa makatili wa Kenya (Wajaluo) ambao hata kule Kenya kuna wakati waliisumbua serikali.

Huenda kukawa na Mauaji ya chini kwa chini labda Wananchi wamuwahi Sabaya na Vijana wake kabla hao vijana na hawajafanya yao

Mbaya zaidi wana silaha mikononi, wengine walishakuwa Maaskari mipakani
 
Wee jamaa nilishakwambia kuwa una option moja tu ya kuondoa sonona iliyokuganda nayo ni kufa. Vipi nikuitie manka mushi wa kichaga akuchagulie aina ya kifo?
Insanity.
 
Wewe ni muuaji kwa mawazo yako ya kishenzi kabisa ya kumshabikia muuaji mwenzako Sabaya na genge lake huku ukifikiri Sabaya anasota kwa sababu ya Mbowe! Haki ni kwa watanzania na sio kwa Mbowe pekee! Na katika mashtaka ya Sabaya hakuna hata moja ya mashtaka hayo yanatoka kwa Mbowe! Ni waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki Sabaya na sio Mbowe. Hujui chochote cha maana ndio sababu unawaza ushenzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…