Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
 
Hivi ukisoma upya ulichokiandika,haujamtambua bado aliyechanganyikiwa kweli?
 
Dew means ??????? šŸ˜³šŸ˜³šŸ˜³šŸ˜³šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Jiwe alikua mhuni na mwongo sana.
 
 

Attachments

  • VID-20230114-WA0009.mp4
    15.6 MB
 
Sio tu waachishwe,ila wa buruzwe kortini kwa kula mlungula, matumizi mabaya ya fweza za uma na kugushi.Ni ikiwezekana itolewe adhabu kali na mahakama ili iwe funzo kwao na waliokula mlungula pamoja naošŸ¤”
 
Kwa kuwa weye ni chawa Mtukuka,hata iwapo andiko lako lina chembe chembe za kinachofanana na imani ya wenye kufuatilia hali ya mambo kwa uchawa wako,upotoshaji waweza kuwa mwingi kiasi cha kupoteza hata chembe chembe za uhalisia zilizo kuwa ndani yakešŸ¤”
 
Umelewa asali ya nyuki wadogo,endelea Kulamba asali.
 
MNA KAZI YA KUPIGA RAMLI UNGEKUWA NA AKILI UNGEJIPIGIA RAMLI YA KUPATA PESA
 
Kabla sijaanza kusoma, je hii nayo ina episodes? Au inaisha moja kwa moja
 

CCM ina akili ya kubaki madarakani lakini akili ya kuzuia mfumuko wa bei au akili ya kulipa madeni ya nje haina?. Mnaipa CCM sifa ambazo haistahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…