Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wa ndani yaani deep state huwa namwamini sana na taarifa zake huwa sio za magumashi
 
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
..
 
Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    JamiiForums1389173211.jpeg
    24.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1612420221935.jpg
    FB_IMG_1612420221935.jpg
    22.2 KB · Views: 2
Yaani mwenzao alikuwa jela , ananyea ndooni wao wanakula bata mitaani, ,Hivi walitamani abakie kule mpaka afie jela kwa kushikilia misimamo?
Siasa gani hizo .
Mwanasiasa haachi kuitumia Gape hata kama ni nyembamba mno, lolote linaweza kutokea.
Ukiwa huru ,unaweza kufanya mipango, lakini ukiwa ndani, kwa Afrika ni kwishneh, watabaki wafuasi wanabweka kwenye mitandao tuu.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuingia mitaani kushin ikiza Mbowe atolewe.
Halafu mnamsema kauza chama?

Jamani Msalieni Mtume
Heading ni sabaya,ila body ni mbowe A-Z hujaliona hilo?
 
Kwa kuwa weye ni chawa Mtukuka,hata iwapo andiko lako lina chembe chembe za kinachofanana na imani ya wenye kufuatilia hali ya mambo kwa uchawa wako,upotoshaji waweza kuwa mwingi kiasi cha kupoteza hata chembe chembe za uhalisia zilizo kuwa ndani yake🤔
Bora hata umeona kuwa huyu ni chawa tena chawa promax, anatafuta kik usiku kucha huyo kwa kuwaponda upinzani
 
Back
Top Bottom