Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

Ndiyo ukw
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
Li wenyewe huo
 
kwa huu mkeka umefeli kichwa kinaeleza yake ila body imejaa dhihaka na mapambio ya kijani.
 
Mbona umejichanganya. Pumzika utapata ugonjwa wa akili. Mara mbowe mara mdee mara sabaya mara CCC wana mbinu mia za kukaa madarakani.

Yani CCM wana mbinu mia za kukaa madarakani zinamsaidia nini mwanachi?. Mwananchi anataka mbinu mia za kukuza uchumi.
 
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
Ujinga wa neno kauza chama nadhan umebaki kt domo lako, kuna mda mlidai kauiuza chadema kwa Lowasa manvi, sijui wadhan tumekusahau??? Pia kuna mda chini ya dictator JPM mliamini Chadema itakufa badala yake tukamzika dictator JPM, Maana sasa umechange uongo wako, sasa wenye akili tunakujua ujinga na uongo wako wa kiwango cha kokoto wa kujitia moyo.
Kifupi anayoyafanya samia hamyapendi ndio chanzo hasa cha ngonjera zote hizi za kipumbafu
 
Wewe Chief una stress sana, jaribu kupumzika kidogo mjomba, haya masiasa hayana mwisho
Hakuna mwenye sitreess labda machawa ndio yamechanganyika kwani yanahusu kuvurugwa kuko karibu,kwani lile zuio liliyabeba mno,hata kujiona ni malaika🤔
 
Ujinga wa neno kauzq chama nadhan umebaki kt domo lako, kuna mda mlidai kauiuza chadema kwa Lowasa manvi, sijui wadhan tumekusahau??? Maana sasa umechange uongo wako, wenye akili tunakujua ujinga na uongo wako wa kiwango cha kokoto
Lichawa limevurugikiwa baada ya zuio kuondoshwa😂
 
Yaani mwenzao alikuwa jela , ananyea ndooni wao wanakula bata mitaani, ,Hivi walitamani abakie kule mpaka afie jela kwa kushikilia misimamo?
Siasa gani hizo .
Mwanasiasa haachi kuitumia Gape hata kama ni nyembamba mno, lolote linaweza kutokea.
Ukiwa huru ,unaweza kufanya mipango, lakini ukiwa ndani, kwa Afrika ni kwishneh, watabaki wafuasi wanabweka kwenye mitandao tuu.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuingia mitaani kushin ikiza Mbowe atolewe.
Halafu mnamsema kauza chama?

Jamani Msalieni Mtume
 
Umesoma kichwa cha habari? Umegundua madhaifu ya uandishi wako? Kama hujagundua basi subiri utaeleweshwa.
Kwa upeo mdogo alip nao hawezi kuyaona mapungufu uliyoyaona.

Ukweli the whole story is crap from a low mind. Hajua hata namna ya kufanya presentation ya alichokusudia.
 
Hahaaa
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendeleb
Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakacho fuata n upatikanaji wafedha za mikutano ya hadhara" duh ccm nyoko👣👣
 
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.
Ku"fall apart with all dew means" (kwa njia za umande)ndiyo kusambaratikaje huko mkuu, maana sasa dah!
Ama ulimaanisha "new means"?
Maana uchapaji saa zingine changamoto!
 
Hiyo hotuba yenye madini, Kakobe aliimwaga wakati gani, au enzi zile za kupimana mikojo na kunyang'anyana uraia?
 
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.

Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn haikuwa rahisi kuwakwepa wanachama Hawa wa Chadema maana waliamini Mbowe amewasaliti.

Imani yao ni kweli kuwa Mbowe kawasaliti lkn anaondokaje kwenye mkono na tuhuma za kuwasaliti wanachama chake imebidi atengeneze mbinu na mikakati na waliomnunulia Chama ili ionekane kuwa yy ni mpambanaji Sana tena haswaaa kabisa.

amejifanya kuwapa matumaini lkn ukweli ni kwamba Mbowe anajua alichoambiwa kuwa Chadema must fall apart with all dew means lazima Chadema izikwe baada ya kufa ili hata mfupa na damu yake isionekane.

Baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kitakachofuata ni upatikanaji wa fedha za kuendeshea mikutano ya hadhara.

Nitaendelea.

Acha matumizi ya shisha, ni hatari kwa maisha yako.
 
Chekecheke la kuchuja wapinzani wa kweli alilichuja Magufuri tukajuwa wapinza wa kweli ni wapi?na wauongo ni wapi
 
Back
Top Bottom