Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wa ndani yaani deep state huwa namwamini sana na taarifa zake huwa sio za magumashi
 
..
 

Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    24.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1612420221935.jpg
    22.2 KB · Views: 2
Heading ni sabaya,ila body ni mbowe A-Z hujaliona hilo?
 
Bora hata umeona kuwa huyu ni chawa tena chawa promax, anatafuta kik usiku kucha huyo kwa kuwaponda upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…