Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

Kwamba serikali iliyopita ilikua ya majambazi,maana utumishi wake huo anaosema ulikua kwa masilahi ya serikali ulikua wa kijambazi.
 
Ukweli roho inauma Sana kuona wachizi wangu wanateseka hivyo hamna shida urafiki una gharama zake ila mungu asiweke kwenye mtihani kama hii
 
Kwanza hata huyo mpambe wake anajiita alikuwa afisa kilimo hata sie hatumjui njooni mkague kama daftari la mkuu wa idara ya kilimo Hai kama ashawahi kusaini popote kwenye daftari la mahudhurio kazini. Tunalazimishwa tuwe mashaidi kwa lazima
Hizi Id za michongo bana dah
 
Poor defense.

Huyu kijana hajui kuwa Mahakama haifanyi maamuzi kwa hisia au huruma. Hiyo anaweza kutoa akiwa convicted kumpunguzia hukumu. But it's not a defence at this moment of time. Hivi ha defense lawyers wanamshauri vipi au bado yuko zama zile.
 
..Sabaya amedai hii kesi ni ya kisiasa.

..kwamba ni hila ya mtu aliyeshindwa ubunge Hai akishirikiana na Takukuru kumsulubu yeye[sabaya].

..pia anadai tuhuma kwamba hana uwezo wa kununua gari ya milioni 60 sio za kweli.

..Sabaya amedai kwamba anamiliki ng'ombe zaidi ya 1400, na anajihusisha na kilimo cha kibiashara.

 
Wapambe wake wengine mijusi kafiri nipo nao somewhere in BOMA ngombe nakunywa nao ulevi wamekonda kwa mawazo maana kesi ikifika Kilimanjaro hawapone kwa jinsi walivyokuwa vimbelembele kwa mambo wasiyoyajua na Hadi wana magari tofauti na kipato Chao cha serikali
 
Sabaya anajitekenya na kucheka mwenyewe.

Hii defence anayotoa kizimbani sio ya kisheria ni imaginations ambazo hazionekani kwenye macho ya sheria.
 
mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani

Ukiwa mwizi na ukakamatwa ni wewe; huwezi kujitetea kuwa mbona kuna wezi wengine hawajakatwa ? Kutokamatwa kwao cannot be your defence!!!
 
Kumbe alikuambukiza VVU?
 
Ukiwa mwizi na ukakamatwa ni wewe; huwezi kujitetea kuwa mbona kuna wezi wengine hawajakatwa ? Kutokamatwa kwao cannot be your defence!!!

..you are 100% correct.

..mimi simtetei Sabaya.

..ila ninashangazwa kwamba wale wengine waliotenda kama yeye au zaidi mbona hawashtakiwi?

..Sabaya amemkosea au alimgusa nani ktk ccm na system?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…