..Sabaya amedai hii kesi ni ya kisiasa.
..kwamba ni hila ya mtu aliyeshindwa ubunge Hai akishirikiana na Takukuru kumsulubu yeye[sabaya].
..pia anadai tuhuma kwamba hana uwezo wa kununua gari ya milioni 60 sio za kweli.
..Sabaya amedai kwamba anamiliki ng'ombe zaidi ya 1400, na anajihusisha na kilimo cha kibiashara.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amekana kuwafahamu watuhumiwa wenzake watano kati ya sita katika kesi ya uhujumu uchumi huku akidai kuwa alitumiwa watu wa kumuua.
www.mwananchi.co.tz