Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Fix tu na matango pori!Hapana hii ni uwongo bana,Ni uwongo bana,Hii ni uwongoo.
Atakuwa Malema wa TanzaniaSabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati
Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .
Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri
kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
Na hapo hujavuta bange!Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati
Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .
Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri
kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
Jambazi aliyethibitika katika wizi na hata uporaji, atapitishwa kwa vigezo gani na chama chochote kuongoza watu?Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati
Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .
Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri
kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
Ni mtazamo wako......Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati