Sabaya kiongozi Mkuu wa Upinzani baada ya 2025 anayetengenezwa kimkakati na CCM. Ubunge. ukuu wa wilaya na mkoa wala uwaziri si level zake

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati

Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .

Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri

kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
 
Sabaya amewashinda mahakamani kama Ruto alivyowashinda mahakamani na kuapishwa
 
Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati

Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .

Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri

kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
Atakuwa Malema wa Tanzania
 
Na hapo hujavuta bange!
 
Jambazi aliyethibitika katika wizi na hata uporaji, atapitishwa kwa vigezo gani na chama chochote kuongoza watu?
 
Bangi inaendelea kuharibu akili yangu hata baada ya miaka saba toka nimeacha kuivuta.!
 
Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati

Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .

Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi level yake si ya kibunge wala kuwa mkuu wa mkoa wala kuwa waziri

kwa Sasa hivi sabaya ni presidential level kabisa kisiasa
Ni mtazamo wako......
 
Back
Top Bottom