Lazima Sabaya afungwe kwa maovu yakeUnateseka ukiwa wapi mkuu? Shida ya roho yako ya chuki haita kusaidia lolote mkuu
SijakuelewaMbona hajafunngwa mama? Huu mwaka wa ngapi yupo mahabusu?
Sasa pia ujiandae hata pale atakapoenda jela kihalali pia,Tena mvua za kutosha.Sabaya ni mwamba anashinda kesi kihalali na si kwa hurum ya Ikulu
wewe kenge unatetea majambazi. unadhani huo ujambazi kafanyia kiunoni kwako hakuonekana?Mahakama ndio inatakiwa imtie hatiani sio wewe kibaraka wa mpuuzi
Ndo natural justice hiyo.Nchi hii laana itachukua muda mrefu sana kuisha, yaani jambazi mshenzi kama Sabaya anatetewa nakuonekana wa maana na watu kweli?!
Sabaya ni mwamba anashinda kesi kihalali na si kwa hurum ya Ikulu