Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

Ongea tu ukiwa huku uraiani mwanangu siku yakikukuta...... usiseme jela huendi, kule hakuna mwenyewe
 
Nchi hii laana itachukua muda mrefu sana kuisha, yaani jambazi mshenzi kama Sabaya anatetewa nakuonekana wa maana na watu kweli?!
hao wote ni wanufaika wake, walitakiwa waunganishwe nae tena waanzie kisongo wakishamaliza kazi yao kule waje karanga nao wafanye yao.
 
Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma.
View attachment 2247744
Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
View attachment 2247746
Usijifanye chizi, Kesi za Mbowe mlizisuka kisiasa.
Huyo chizi mwenzenu Sabaya kesi zake jinai tupu, atanyea tu ndoo kwa miaka mingi.
 
Mahakama imemwachia huru juzi tu
Bwana IDUGUNDE,kumbuka huyo Sabaya amemaliza mwaka mmoja Jela sasa,jana kafunguliwa Kesi nyingine Moshi wakati huohuo anasubiri Hukumu ya ile Kesi ya Arusha tarehe 10,wakati wewe upo na smartphone unaandika upuuzi JF ukiwa unakunywa supu au chai ya maziwa mwezio analala chini sakafuni,nadhani umeona Afya yake ilivyozorota,naamini atakuwa na ukurutu mpaka mkunduni,acha kuandika ujinga eti akomae atashinda,hakuna kitu kikubwa duniani kama Afya na Uhuru,Kesi za Sabaya zina Ushahidi wa wazi kabisa usio na shaka,hiyo Kesi aliyoshinda Mahakama ya Rufaa si kwamba hakutenda matendo yale alitenda,sema kulikuwa na upungufu mdogo tu wa kisheria upande wa Waendesha Mashtaka ndio maana akachomoka,msimjaze ujinga eti akomae Jela sio mahali kuzuri,ni vema akatuma Wazazi wake na ombe Viongozi watu wazima kama kina Lukuvi na Mkuchika waende kwa Mama wakapige magoti wamuombee msamaha,zaidi ya hapo huyu sio wa kutoka leo wala kesho,na Hukumu ya Kesi tarehe 10 lazima atafungwa tu miaka 30 kama huamini subiri uone,mnakaa kwenye smartphone mnamdanganya wakati hamuendi Jela kumpelekea hata nyembe kama si sabuni,huo ni upuuzi na ujinga,huyu Sabaya na genge lake walikuwa ni Majambazi kama Majambazi mengine tu
 
Sasa kama atafungwa kwa kesi kama hizi ambazo hata watoto wadogo wanajua ni ubambikiaji wa kisiasa ni aibu kwa taifa hili.
 
Huyu wataruka ruka nae hata akija kuchomoka atakuta connection zote uraiani zimekata atakachoweza kufanya labda afanye udalali.
 
Sasa kama atafungwa kwa kesi kama hizi ambazo hata watoto wadogo wanajua ni ubambikiaji wa kisiasa ni aibu kwa taifa hili.
Huo ubambikiwaji anabambikiwa na nani??CHADEMA,CUF au ACT??wanaomshtaki ni waliokuwa waajiriwa wenzake wa Serikali tena wengine walifanya nae kazi mfano Salum Hamduni(alikuwa RPC Arusha na sasa ni Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU),chuki za Siasa zinatoka wapi hapo??kwani kuna Kesi yoyote iliyofunguliwa dhidi yake na kiongozi yoyote wa Upinzani??aliyemsimamisha kazi Sabaya ni Mbowe au Zitto Kabwe??si Rais mwenyewe au!!!nadhani ni vema ukatumia akili za kichwani na si za makalioni,yaani mtu atoke Hai bila ruhusa akapore Pesa ya mtu gereji Arusha halafu unakuja kumtetea hapa bila aibu!!!hivi unafahamu taratibu za kazi kwa Wakuu wa Wilaya au unaandika tu ujinga??nakusaidia tu kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa mfano eneo lake la kazi ni Wilaya ya Kinondoni,akitaka kwenda kikazi Ubungo ni lazima apate kibali cha Mkuu wa Mkoa wa Dar au Mkuu wa Utawala wa Wilaya yake(DAS)au wa Mkoa(RAS)maana Ubungo sio eneo lake kiutawala elewa hilo,sasa Sabaya yeye kila siku alikuwa anashinda Arusha Mjini na Moshi Mjini kupiga deal za Ujambazi,unategemea nini aisee!!!narudia tena kwamba Sabaya alikuwa Jambazi kama Majambazi mengine tu
 
Yaani unamtetea Sabaya why Sabaya!!ana kitu gani mpaka azushiwe yeye tu wakati Nchi hii ina Wakuu wa Wilaya zaidi ya 300,kwa nini yeye??ni kwamba alikuwa Jambazi hatari sana
 
Bwana IDUGUNDE,kumbuka huyo Sabaya amemaliza mwaka mmoja Jela sasa,jana kafunguliwa Kesi nyingine Moshi wakati huohuo anasubiri Hukumu ya ile Kesi ya Arusha tarehe 10,wakati wewe upo na smartphone unaandika upuuzi JF ukiwa unakunywa supu au chai ya maziwa mwezio analala chini sakafuni,nadhani umeona Afya yake ilivyozorota,naamini atakuwa na ukurutu mpaka mkunduni,acha kuandika ujinga eti akomae atashinda,hakuna kitu kikubwa duniani kama Afya na Uhuru,Kesi za Sabaya zina Ushahidi wa wazi kabisa usio na shaka,hiyo Kesi aliyoshinda Mahakama ya Rufaa si kwamba hakutenda matendo yale alitenda,sema kulikuwa na upungufu mdogo tu wa kisheria upande wa Waendesha Mashtaka ndio maana akachomoka,msimjaze ujinga eti akomae Jela sio mahali kuzuri,ni vema akatuma Wazazi wake na ombe Viongozi watu wazima kama kina Lukuvi na Mkuchika waende kwa Mama wakapige magoti wamuombee msamaha,zaidi ya hapo huyu sio wa kutoka leo wala kesho,na Hukumu ya Kesi tarehe 10 lazima atafungwa tu miaka 30 kama huamini subiri uone,mnakaa kwenye smartphone mnamdanganya wakati hamuendi Jela kumpelekea hata nyembe kama si sabuni,huo ni upuuzi na ujinga,huyu Sabaya na genge lake walikuwa ni Majambazi kama Majambazi mengine tu
Umewachana vizuri hawa wapumbavu
 
Sabaya unampenda sana, wewe utakuwa baba au mama wa hovyo kwenye familia yako.
 
Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma.
View attachment 2247744
Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
View attachment 2247746

Wewe kweli mjinga kwa hivyo Mbowe akiacha kudai katiba mpya ndio wewe umezuiwa kudai?. Kwa hivyo Mbowe akifa Leo hatutapata katiba mpya.

Katiba mpya Ni agenda ya CHADEMA ndio maana makongamano yanaendelea ya Katiba Mpya hata chato na juzi Arusha.
 
Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma.
View attachment 2247744
Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
View attachment 2247746

Mbona Jana Sabaya kamuomba mama Samiah aingilie Kati kesi yake? Au hukufuatilia kesi.
 
Back
Top Bottom