Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

Sabaya ni mwamba anashinda kesi kihalali na si kwa hurum ya Ikulu

I'll kesi alioshinda Mashtaka Kama wanaakili wanaweza fungua Trial de novo. Maana shida sio ushahidi shida ni procedures za kisheria pia hakimu alimbwela kwenye kuandika hukumu sijui alikuwa amelewa.
 
Mbona hajafunngwa mama? Huu mwaka wa ngapi yupo mahabusu?

Alifungwa akashinda Rufaa juu ya procedures. Na Jamhuri Wana uwezo wa kufungua kesi upya kwa kufuata procedures kesi ikaanza mwanzo Tena.
 
Mahakama ndio inatakiwa imtie hatiani sio wewe kibaraka wa mpuuzi

Mahakama ilishamtia hatiani. Seema kwenye Rufaa huwa hawaangalii hatia Bali makosa ya mahakama ya Chini, lakini hatia anayo.
 
Mahakama imemwachia huru juzi tu

Mahakama haikumuachia huru acha uongo, mahakama ilisema procedures za kisheria zilikosewa na sio kwamba Hana hatia. Hivyo Jamhuri Ina uwezo wa kufungua Tria de novo kwa kufuata procedures za kisheria.
 
Sasa kama atafungwa kwa kesi kama hizi ambazo hata watoto wadogo wanajua ni ubambikiaji wa kisiasa ni aibu kwa taifa hili.

Watoto wadogo gani wanfuatilia kesi ya huyo shetani. Waache kuangalia katuni wafuatilie kesi za huyo ibilisi.
 
Unamwambia komaa mwenzio uko uraiani unakula chips n bia.mwenzio ananyea debe n kukoswa m.b.o.o. y t.a.k.o.
 
Yaani unamtetea Sabaya why Sabaya!!ana kitu gani mpaka azushiwe yeye tu wakati Nchi hii ina Wakuu wa Wilaya zaidi ya 300,kwa nini yeye??ni kwamba alikuwa Jambazi hatari sana
This is not reasonable reasoning.
 
Nchi hii laana itachukua muda mrefu sana kuisha, yaani jambazi mshenzi kama Sabaya anatetewa nakuonekana wa maana na watu kweli?!
Shida kubwa hapa ni Umagufuli, watu wanataka tuamini kila alilolifanya hakuwahi kukosea. Fikiria pamoja na mambo maovu yaliyofanywa wazi kabisa na Sabaya lakini bado kuna watu hawakuona na hawataki kujua. Kuna kitu inabidi waelewe hata uwe umefanya mema mangapi lakini hauna haki ya kudhulumu, kuua au kutesa yeyote ama kuvunja sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom