Sabaya ni mwamba anashinda kesi kihalali na si kwa hurum ya Ikulu
Mbona hajafunngwa mama? Huu mwaka wa ngapi yupo mahabusu?
Jambazi anavunja mchana kweupe na gari za umma?
Mahakama ndio inatakiwa imtie hatiani sio wewe kibaraka wa mpuuzi
Huyu kibaka tunae iwe mvua,iwe jua,iwe baridi,iwe joto😁😁😁
View attachment 2247756View attachment 2247757
Jela watu waende wakiwa na makosa sio kusingiziana.
Mahakama imemwachia huru juzi tu
Sasa kama atafungwa kwa kesi kama hizi ambazo hata watoto wadogo wanajua ni ubambikiaji wa kisiasa ni aibu kwa taifa hili.
Umeenda kumtoa wewe huko mahakamani?Mahakama imemwachia huru juzi tu
Na wakimtoa huku Hai lazima tumuue baada ya kumkula kijambioAcha ale mvua za kutosha na bado kuna kesi tatu tena mpk maji ataita mma
SureNa wakimtoa huku Hai lazima tumuue baada ya kumkula kijambio
Shida kubwa hapa ni Umagufuli, watu wanataka tuamini kila alilolifanya hakuwahi kukosea. Fikiria pamoja na mambo maovu yaliyofanywa wazi kabisa na Sabaya lakini bado kuna watu hawakuona na hawataki kujua. Kuna kitu inabidi waelewe hata uwe umefanya mema mangapi lakini hauna haki ya kudhulumu, kuua au kutesa yeyote ama kuvunja sheria za nchi.Nchi hii laana itachukua muda mrefu sana kuisha, yaani jambazi mshenzi kama Sabaya anatetewa nakuonekana wa maana na watu kweli?!