Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Safi sana Rais Samia , nyumbu wote watakuelewa sasa kwamba wewe na Magufuli ni kitu kimoja
Unamkataaje yule halafu unamkubali Samia kwa sababu tu unamchukia jpm? Wote ni kutoka ccm. Niliwahi kusema chadomo wanaingia kwenye mtego tena kichwa kichwa
 
Kwamba hadi wale wananchi waliokatwa masikio na kuingiliwa kinyume kule Hai walikuwa wanamsingizia?
Yule Ustaadh aliyevamiwa dukani kama jambazi, na wale wamiliki wa Hotels na wafanyabiashara je?
Sawa
Ile kesi ya uhujumu nayo alishaonekana hana hatia
 
Back
Top Bottom