Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Safi sana Rais Samia , nyumbu wote watakuelewa sasa kwamba wewe na Magufuli ni kitu kimoja
Mkuu unapo sema Nyumbu una maanisha watanzania wapenda haki au Nyumbu wale wanyama wa hifadhini? Ebu fafanua tukuelewe!
 
Mkuu unazionea mahakama bure, Kwa sababu mshatakiwa alikuwa ni mtumishi wa serikali, waandaa mashaka ni watumishi wa serikali, askari waliomkamata ni watumishi wa serikali na muda fulani walikuwa chini ya mshatakiwa wa serikali huyo, wapelelezi ambao ni askari ni watumishi wa serikali na mawakili wa serikali ni watumishi wa serikali!

unaona huo mnyororo???

Mkuu unlitegemea nini tofauti ukiutazama mnyororo huo???

Je, kama hao watumishi wa serikali walipeleka ushahidi hafifu kumuokoa mtumishi mwenzao wa serikali??

Mkuu Mahakama haina kosa kwa sababu huamua kutokana na ushahidi ulioletwa mbele yake.

Mkuu kunahitajika overhaul nzima na kuseparate mfumo wa mashataka, ukamataji na upelelezi. Ziwe independent entities.
Una hoja kubwa, lkn mahakama zetu zimejaa tumorous judges
 
Kama Mahakama hazitoi HAKI tena basi msiwalaumu Watanzania watakapojichukulia Sheria mikononi.
Mkuu mahakama hutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi uliopelekwa mbele yake, sio nje ya hapo.
 
H
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.

Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.

Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.

Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.

Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.
Hii wala sio habari. Ilitarajiwa hivyo
 
Kwamba hadi wale wananchi waliokatwa masikio na kuingiliwa kinyume kule Hai walikuwa wanamsingizia?
Yule Ustaadh aliyevamiwa dukani kama jambazi, na wale wamiliki wa Hotels na wafanyabiashara je?
Sawa
Hpn dada sabaya hajamfira mtu popotr pale hzo Ni propaganda za cdm kumuaribia taswira yake mbele ya jamii

Mm nimefanya Kaz na sabaya kwa ukaribu mno sijapata kuona akitafanya mambo ya kishemzi Kama hayo
 
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.

Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.

Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.

Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.

Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.

Rubbish, does it mean that the original charges were framed up? If so why is he not compensated for defamation?
 
kabla watesi hawajamshughulikia atakuwa amewashughulikia tayari,
 
CDM Hoyeeeee msiyemtaka kaja akiunganika na Paulo ngoma inogile
 
Mkuu unazionea mahakama bure, Kwa sababu mshatakiwa alikuwa ni mtumishi wa serikali, waandaa mashaka ni watumishi wa serikali, askari waliomkamata ni watumishi wa serikali na muda fulani walikuwa chini ya mshatakiwa wa serikali huyo, wapelelezi ambao ni askari ni watumishi wa serikali na mawakili wa serikali ni watumishi wa serikali!

unaona huo mnyororo???

Mkuu unlitegemea nini tofauti ukiutazama mnyororo huo???

Je, kama hao watumishi wa serikali walipeleka ushahidi hafifu kumuokoa mtumishi mwenzao wa serikali??

Mkuu Mahakama haina kosa kwa sababu huamua kutokana na ushahidi ulioletwa mbele yake.

Mkuu kunahitajika overhaul nzima na kuseparate mfumo wa mashataka, ukamataji na upelelezi. Ziwe independent entities.
Jaji anapaswa kufahamu kukamata wahujumu uchumi sio kazi ya DC tena ikiwa katika wilaya nyingine kabisa.
 
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.

Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.

Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.

Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.

Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.
Wameishinda serikali!real upuuzi wote wa CCM, hapo serikali, haijashinda, hapo kila kitu ni cha CCM, hakimu, mwendesha mashitaka, hapo ulikua ni upuuzi tu, na kupoteza pesa ya umma
 
Mahakama zinafanya kazi kwa maelekezo ya CCM,na majaji kulinda ugali wao yaani hawako huru ktk mahakama zetu za Tanzania. Na sabaya hukumu yake siyo ya mahamaka hao wamesoma tu Kama wawakilishi maagizo ni kutoka juu ili wasimtie dowa waweze kumteua tena arudi chamani au serikalini kuendeleza maovu yake na timu zake.
 
Ngojeni muimgize Nchi kwenye machafuko na hatimae kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Sisi wananchi tunajitambua, siyo nyumbu, kwa hiyo hatuwezi kuingizwa kwenye machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Usirikeruke huyu ni ole Sabaya na wakurugenzi niwakurigenzi.
 
Back
Top Bottom