Pre GE2025 Sabaya ni kiongozi imara mwenye uwezo wa kipekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Harufu ya majambaka kutetea magenge yao?
 
SABAYA NI MOJA YA VIONGOZI WENYE UWEZO MKUBWA SANA KUSIMAMIA SERA NA ILANI YA CHAMA

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba "MAPUNGUFU YA BINADAMU NDIO UKAMILIFU WAKE"

Ninavutiwa sana na aina za siasa anazofanya kaka yangu Sabaya, na nilipata tabu kiasi alipokuwa kwenye ibada aliyopitia, suala likiwa mahakamani sisi tunaoheshemu mihimili ya Jamuhuli ya Muungano huwa tunajiepusha kulizungumzia, sintozungumzia changamoto aliyoipata katika upande wowote, mimi ninaamini anastahili kuishi katika maisha yote kama sisi, ninachofurahi ni kwamba anarudi tena kutoa mchango wake katika Taifa letu.

UPEKEE WA SABAYA NA WATU WA AINA YAKE

1. JASIRI
Ni kiongozi mwenye ujasili wa kusimamia anachokiamini na kukitekeleza bila kumwogopa mtu yoyote

2. MBUNIFU NA MCHAPAKAZI
Ni kiongozi mbunifu na asiyekuwa mvivu kufuatilia jambo kinaga ubaga

3. MUWAZI NA MKWELI
Hana unafiki akikupenda anasema mbele za watu na hukosoa watu bila kificho hana mambo ya majungu mara nyingi nilimwona akiwapasulia watu mijipu bila kupepesa macho

Aina ya watu wa hivi wakiingia kwenye changamoto ni ngumu sana kuwahukumu, kwa sisi wenye tabia za kuendana nao tunajua namna gani wahuni wanavyotuogopa na muda mwingine hututegea mitego, wanajua hatukwepeshagi ukikosea tuna sema, yaani breki za kuficha waovu huwa hatuna, ukimsema mtu kwa mbambo ya kijinga na kinafki umejichanganya sisi humwambia ajirekebishe na si vibaya akajua tu kwamba ni sisi ndio tunaokwazika kwa tabia zake.

NAFURAHI UMEKUWA HURU SABAYA, MIMI NAKUTABILIA VEMA SANA, UPO IMARA KUSHINDA JANA

Ndimi Comrade Ally Maftah
CCM LIA LIA
SHABIKI WA KWANZA WA MAMA SAMIA
JITU LA MIRABA
CHALINENEE.

MJUMBE MKUTANO MKUU WA CCM NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA DAR ES SALAAM
Aina nyingine ya takataka
 
Ukurasa wa Sabaya kwa upande wa uongozi ulishafungwa, watapewa nafasi watz wengine nao tuone utendaji wao...sio lazima Sabaya Sabaya tu kila siku!.
Kama amekutuma muambie atafute kazi nyingine ya kufanya.
 
Oya Maftah, acha ufala chalii yangu

Ally ni moja ya mtu ambaye dish lake haliko sawa, mpuuzeni.
SABAYA NI MOJA YA VIONGOZI WENYE UWEZO MKUBWA SANA KUSIMAMIA SERA NA ILANI YA CHAMA

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba "MAPUNGUFU YA BINADAMU NDIO UKAMILIFU WAKE"

Ninavutiwa sana na aina za siasa anazofanya kaka yangu Sabaya, na nilipata tabu kiasi alipokuwa kwenye ibada aliyopitia, suala likiwa mahakamani sisi tunaoheshemu mihimili ya Jamuhuli ya Muungano huwa tunajiepusha kulizungumzia, sintozungumzia changamoto aliyoipata katika upande wowote, mimi ninaamini anastahili kuishi katika maisha yote kama sisi, ninachofurahi ni kwamba anarudi tena kutoa mchango wake katika Taifa letu.

UPEKEE WA SABAYA NA WATU WA AINA YAKE

1. JASIRI
Ni kiongozi mwenye ujasili wa kusimamia anachokiamini na kukitekeleza bila kumwogopa mtu yoyote

2. MBUNIFU NA MCHAPAKAZI
Ni kiongozi mbunifu na asiyekuwa mvivu kufuatilia jambo kinaga ubaga

3. MUWAZI NA MKWELI
Hana unafiki akikupenda anasema mbele za watu na hukosoa watu bila kificho hana mambo ya majungu mara nyingi nilimwona akiwapasulia watu mijipu bila kupepesa macho

Aina ya watu wa hivi wakiingia kwenye changamoto ni ngumu sana kuwahukumu, kwa sisi wenye tabia za kuendana nao tunajua namna gani wahuni wanavyotuogopa na muda mwingine hututegea mitego, wanajua hatukwepeshagi ukikosea tuna sema, yaani breki za kuficha waovu huwa hatuna, ukimsema mtu kwa mbambo ya kijinga na kinafki umejichanganya sisi humwambia ajirekebishe na si vibaya akajua tu kwamba ni sisi ndio tunaokwazika kwa tabia zake.

NAFURAHI UMEKUWA HURU SABAYA, MIMI NAKUTABILIA VEMA SANA, UPO IMARA KUSHINDA JANA

Ndimi Comrade Ally Maftah
CCM LIA LIA
SHABIKI WA KWANZA WA MAMA SAMIA
JITU LA MIRABA
CHALINENEE.

MJUMBE MKUTANO MKUU WA CCM NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA DAR ES SALAAM
 
Huyo HAFAI, HAFAI kuwa hata Mtendaji wa Kijiji. Nitashangaa sana kama atapata uteuzi. He is not clean at all.
 
Back
Top Bottom