Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Sabaya hata akaijisafisha kwa Dodoki hasafishiki. He is dirt
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia sna experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview ksma hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
 
Bila shaka wakati unaponda interviews za akina Sabaya , utakuwa hapo hapo unasifia interviews za Tundu Lissu anazozitumia kujidharirisha!
Pumba kweli. Lissu ni independent Man hahitaji teuzi ya aina yoyote kupeleka mkono kinywani kama hao walamba miguu wa ccm
 
Amejisahau sana,unaweza kufikiri ana nia njema kumbe ni unafiki tu.
KIONGOZI ALIYEWATEUA ALIWAJENGEA KIBURI SANA.
Vitendo anavyo vifanya vya kudhalilisha,kunyanyasa kudhulumu haki za wengine,ni Kuidhalilisha mamlaka iliyomteua,bahati mbaya aliyemteua alikuwa hajali Sheria,kanuni na taratibu.
Hivi sikuhizi hakunawatujasiri Kama yule mzee wa Iringa(mzee mwamwindi),aliye mfyekelea mbali RC wa Iringa kwa unyanyasaji wa wananchi?
 
Akili yake ndogo! Huku Hai amemjaza mke wa Mtu mimba, alafu amemwamuru mwanaume hakuna kumwacha mke wako! Alafu kuna jamaa alifanyiwa U-sodoma na Gomora, kisha wakamdedisha!

Siasa za huyu jamaa na move zake zote ni za kijinga na kitoto sana! Kuhusu clouds, unaweza kuta wamepiga mpunga wa maana sana kufanya ile interview!
Uyo jamaa Mchele Mchele amewazoea vibaya na mmemuendekeza
 
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia sna experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview ksma hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia sna experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview ksma hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
Scientific analysis ila yule pimbi Sabaya hawezi kukuelewa
 
Kiboko chake Mbowe, Sabaya karudisha matumaini, furaha na kuheshimiana kwa wakazi wa Hai. Mama Samia Mpe Ukuu wa Wilaya mpaka siku akisema basi.
 
Kawaida mtu mwenye kupenda kutumia maguvu huwa hana akili wala busara na hekima.
Mfa maji haachi kutapatapa.

Sijajua kwanini anazungumza hayo kwani kuna kampeni za kurudia chaguzi??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
walikuwa wanaiba na maza ako
Hahaha ukiguswa tako unalegea sana. Kipimo cha ujinga wako ni chako mama yako namweshimu siwezi mtukana kwanza hana chochote kuhusu ujinga wako wenye upofu wa madhaifu ya mumeo Lema. Jambazi lile unless hujaishi Ara chuga.
 
Mama Samia akimrudisha huyu na Jerry Muro nadhani atakuwa ameshusha Imani ambayo wengi wanayo juu yake. Kuna watanzania wengi sana wanaweza hiyo ofisi sio hao wapuuzi pekee.
Mbona mnapenda kumtega mama...
muacheni afanye analoliona bora msimpangie
 
Kubugi kwenyewe ni hivi:
Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi n
Mimi naomba sana hawa viongozi wanapokuwa wanaongea kwenye majukwaa tuwe tunawasikiliza vizuri na kwa umakini wa kipekee sana.

Mzee Mwinyi hajapewa Benz kama zawadi, bali kama msaada kutokana na umri wake, kwamba gari ile ya mwanzo aliyokuwa nayo ni ndefu kiasi na hivyo ilikuwa imeshaanza kumsumbua wakati wa kupanda na kushuka, kutokana na umri wake, na hivyo kupelekea Serikali ikaona ni busara kumbadilishia gari kwa kumpa gari fupi atakayokuwa anaweza kupanda na kushuka bila matattizo yoyote.

Possibly ile ya mwanzo na ambayo ilikuwa ni ndefu, ingeweza hata kuja kumsababihia matatizo ya kuanguka halafu kapata madhara ya kuumia viungo vya mwili wake, kitu ambacho sasa kingekuwa kibaya mno na kingehesabika kuwa ni uzembe wa hali ya juu kwa Serikali yote

Na ukizingatia kuwa umri wake unalekeera kwenye miaka 100, ingetokea kwa bahati mbaya kwamba hajabadilishiwa gari na hivyo kupelekea ajali ya kuanguka na kuumia akiwa anapanda au kushuka kwenye gari hilo, hasira sasa zingeenda kwa mama zaidi ya hizi za mpira wa miguu.

Naomba tusiwe watu wa kuwa tunawavizia vizia viongozi wetu kwa kutumia vi-loopholes visivyokuwa na maana halafu tunaanza kujrenga hoja za kuwaangushia lawama kubwa kubwa zisizostahili na kwa mambo yasiyostahili

Iwapo kama manaona kila mtu hafai kuwa Rais, wajulisheni watanzania kuwa Rais mnataka awe malaika kutoka mbinguni, mtuonyeshe yuko wapi nasi tutampigia kura kama mnavyotaka, tumuweke Ikulu awe Rais wetu
 
Mama mwenyewe alisema ni zawadi. Ingekuwa ni stahiki, stahiki huwa hazitolewi kama birthday gift!

Kwani umeambiwa Mwinyi mwenyewe aliandika barua kuomba hiyo gari au serikali yenyewe iliona impe zawadi?.

Yale magari mengine ambayo sasa hayamfai mzee Mwinyi kutokana na sababu ambazo Samia amesema je yataendelea kuwa yake au serikali sasa itayachukua ila tu itambakishia hilo benzi ililosema ndo linamfaa?
 
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia sna experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview ksma hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
Tangia lini Clouds FM na hata Clouds Tv wakawa na Akili? Aliyekuwa na Akili Kubwa hapo alikuwa ni Mwendazake Ruge Mutahaba na waliobaki wote Akili zao nazo ni Ndogo ( Finyu ) kama za huyo Sabaya wenu.
 
Back
Top Bottom