Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Mkuu na wew uko timamu mpaka ulione hilo?
 
Hahaha ukiguswa tako unalegea sana. Kipimo cha ujinga wako ni chako mama yako namweshimu siwezi mtukana kwanza hana chochote kuhusu ujinga wako wenye upofu wa madhaifu ya mumeo Lema. Jambazi lile unless hujaishi Ara chuga.
Una akili kama za Jiwe, hope ni sifa kwako
 
Haijalishi kuwa mama alisema ni zawadi, lakini the undeniable fact kwamba Mzee Mwinyi anaelekea kwenye miaka 100, na kwamba mama alisema kuwa gari ile ya awali ilikuwa imeshaanza kumsumbua kwenye matumizi; mambo haya mawili yana -override usemi mwingine wowote ule unaoweza kuwa ulitumika kuhusiana na gari hilo siku hiyo.

Mbona the same day mzee Mwinyi alikuwa anazindua pia kitabu chake? Mtu mwingine anaweza kusema kuwa ni gari aliloplewa siku ya uzindiuzi wa kitabu chake ,na bado akawa yuko sahihi kabisa, si ndiyo? Ikitokea mtu akasema hivyo, je huyu naye atakuwa tena amezidhooofisha hoja za umri wa mzee na namna zinavyohusiana na matumizi ya gari la zamani?

Naomba tuwe tunakuwa wanagalifu na namna tunavyojenga hoja zetu, hasa kwa viongoz hawa wa ngazi za juu wa nchi. Tunakuwa na spidi kali muno ya kuwashambulia. Mimi nilikuwa nashauri kuwa ikiwezekana hata pale ambapo kweli panaonekana kuwai kuna uhalali wa kuwashambulia, wakati mwingine tuwe tunakaa kimya tu tunawaacha. Spidi yetu ya kuwashambulia ni kubwa muno, tupunguze spidi tafadhali
 
Tanzania nchi ya ajabu sana: Sabaya huyu huyu ambaye clips za camera zilizomuonyesha yeye binafsi akivamia hoteli ya Aishi akimtafuta Mbowe usiku na kuteka walinzi? Sabaya huyu huyu aliyeonekana binafsi akivamia hotel huko Weruweru river lodge akitafuta kupora hela kwa nguvu na wakati mwingine kutaka kumbaka mrembo maarufu aliyefikia hapo. Hivi huyu huyu aliyeshiriki kupiga na kulawiti wapinzani wakati wa kampeni. Yule bwana wa Narumu atajitokeza haraka ikihitajika. Huyu Sabaya huyu aliyempiga risasi kijana mwenzake kwenye baa arusha na kuondoka naye kumtisha? Huyu Sabaya aliyechoma ofisi za Chadema arusha? Huyu Sabaya aliyetengeneza kikundi cha kigaidi kuwashughulikia wapinzani.NOOOOO! SSH amteue tena tuone!! Na tumuelewe vizuri SSH.
Eti clouds imempa coverage!!! stupid idiots!!
 
Hakuna ushaid wwowte Ni kumchafua tu mtu huyu bila ushaidi wa dhati kbsa Ni propaganda za cdm hz
 
Mwisho wa siku anaweza kuhamishwa wilaya tu, au ndio atapewa mkoa kabisa, CCM ni ile ile.
Pia anastahili nchi hi inataka watu wa kalbsa ya Sabaya na makonda ona toka makonda aachiie jiji wiz na ujambazi imekidhiri mno
 
KWA nini hayo yoote msipeleke kwenye vyombo vya Dola,badala yake mnabaki kuja kupiga majungu humu?
 
Mwambieni kule Kikuyu alifanywa nini wakati yupo St. John's!!??
 
Hakuna ushaid wwowte Ni kumchafua tu mtu huyu bila ushaidi wa dhati kbsa Ni propaganda za cdm hz
Tatizo lipo hapo hapo kwenye itikadi za vyama, Wewe unapofushwa na uccm, kumwabudu huyo jamaa mwenye record chafu! Kama walivyo vuna wengine, huyu naye amekaribia sana kujipatia mavuno!
 

Sawa kaka, tumeelewa. Ila nilisoma sehemu kwa mujibu wa sheria Rais mstaafu huwa anabadilishiwa gari kila baada ya miaka 5 sasa iweje walipombadilishia wasimchukulie hilo la chini. Kwanini walimpa cruiser na wanajua age yake imeenda!!? Au wasaidizi wake walilipeleka hili kwenye mamlaka ila halikupatiwa ufumbuzi!!?
Kwahiyo Rais Kikwete nae wataendelea kumbadilishia na yeye kumpa hizo V8 kila baada ya miaka 5 then akifika 90 na kuendelea watampa na yeye Benz sindio[emoji2375][emoji1751]
 
Kwa watu ambao umri umeshaenda, kuna mabadiliko ya ghafla huwa yanatokea. Unaweza ukakutana naye leo yuko hivi, kesho kutwa baada ya wiki moja ukamkuta tena amekuwa vingine. Sijui lakini ila ninachoweza kusema ni kwamba chances ni kwamba mara ya mwisho wanambadilishia gari, (kama kweli iko hivyo kama wewe ulivyosema) nadhani alikuwa bado yuko kwenye hali nzuri physiologically; hali ya kuweza kumudu kupanda na ushuka kwenye gari ndefu. Baada ya hapo tena, either all of sudden au baada ya kipindi kirefu kuwa kimepita, ndiyo sasa wakabaini tena kile kilichopelekea tujadili haya tunayoyajadili humu sasa hivi. Maelezo yangu haya siyo theory, ni hypothesis. Wanaohusika naye ndiyo wanaijua theory yake kiusahihi. Mind you, there is always a first kwa kila jambo, na si kila mtu huwa ana uwezo wa ku-synchronize correctly na first time ya kila tukio.
 
Huyu mamadnu hamna kitu, hakuna mtenda baya wakati wa jiwe ataachwa bali wataamishwa tu vituo vya kazi, ndivyo alivyojionyesha Rais wetu,.

Dotto James
Biswalo

Hao ni baadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…