Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Hongera kwa maono haya, na yametokea
 
Tukio lenu la kutumiwa na Ole Sabaya kupiga propaganda na kukashifu wengine wakati anatuhuma mbaya sana dhidi ya ubinadamu liliwavunjia heshima na kupunguza credibility yenu mbele ya jamii.
Sasa kwa hatua aliyochukua Rais kwa mtu mliyetumiwa kumsafisha inawapasa mjitathimini katika jamii kuwa mienendo yenu wakati wa Magufuli mnapaswa kuendelea nayo nyakati hizi?
 


Wewe si Missile of the Nation tu bali ni prophet, niliona huu uzi nikasoma lakini sikuutilia maanani, hongera sana, you are smart Mkuu
 
Hii ndio JF ninayoipenda.
Hii ni akili kubwa sana.
Uwezo wa kuunganisha jana na leo halafu ukakuwezesha kuona kesho itakuwaje, hiyo ndio inaitwa Hekima.
Hongera mleta mada.
 
Biashara Imeisha Mkuu..........
Mama Hana Asilolijua,Ni Wakati Tu Haukufika.
 
Yesu wangu[emoji848][emoji85][emoji849][emoji87]
 
Walio rudia kusoma huu uzi leo hapa 13/5/2021 waseme Jf sio ngoma ya kitoto
 
Amesimamishwa halafu itengenezwe ripoti ya kumsafishae baada ya hapo apewe Ukuu wa Mkoa.NAWAZA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…