Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Matend
Matendo yake yanatosha kumhukumu hakuna ziada inayohitajika.
Siku hizi hukumu zinatoka mitandaoni then zinafanyiwa maamuzi na viongozi tuliowapa dhamana.
Mambo ya ajabu kabisa kuwai kutokea duniani.
 
Thukuma gang tulia tu...na bado mama anafunua uozo uliovunda...lieni muwezavyo na bado
 
Hakika uliona mbali sana kwenye hili
 

Kwamba interview clouds ilikuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza
 
NARUDIA TENA, KWA VICHWA VILIVYOMO HUMU , NASHAURI JAMII FORUM IWE TOVUTI YA KITAIFA.

VIONGOZI WA KISIASA NA SERIKALI WAPITIE HAPA WAJIFUNZE MAMBO MBALI MBALI.

PIA IWEPO VERSION YA WANAFUNZI AU WATOTO YAANI JF KIDS ILI WANAFUNZI WAJIFUNZE MASOMO YAO HUMU. IKIWEZEKANA IINGIZWE KWENYE MITAAALA YETU

AHSANTE
 
Mkuu ungeweka na hayo mahojiano wengine yalitupita
 
Siku hizi hukumu zinatoka mitandaoni then zinafanyiwa maamuzi na viongozi tuliowapa dhamana.
Mambo ya ajabu kabisa kuwai kutokea duniani.
Achana na mtandao,watu wanamuona na matendo yake ya ajabu ndiyo wanayaleta
Kwenye mitandao....
Alafu we endelea tu kumuona kuwa huyu jamaa ni msafi,mcha mungu ????

Ova
 
Huyu alijua kinachoenda kutokea,Kuna wenzie walimpa dokezo kidogo,sasa uamuzi wa busara Angekaa kimya,dogo jeuri wacha yamkute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…