SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Alikuwa mhuni miaka ya nyuma. Usikariri tukio moja la zamani ukalihusisha na jingine la miaka ya sasa. Kila mtu anao ujanja wa kuongea na mtu mwingine, anao ushawishi wake usiofanana na wa mwingine.
Ushawishi wake utoke wapi? Alijiuzulu uwaziri mkuu kwa aibu kubwa sana na hadi leo anaendeela na scandal zake huko UK
Mwaka juzi alinunua jengo huko UK akakwepa kodi
 
Mkuu Tony Blair ndio alihusika na kuiuzia Tanzania radar kwa ufisadi, Hadi ikapelekea wabunge wa uingereza kuingilia Kati.
Blair alikuja kujiuzulu nafasi zake zote kutokana na madudu aliyofanya akiwa waziri mkuu.
😁😁 Walaumuni ndg zenu Sailesh Vithlani,Tanil Somaiya kwa kuwaingiza Chaka.
 
Blair aliwahi pia kukosana na Tz kwa sababu alituuzia radar kifisadi

Mnasahau kuwa aliwasaidia sana madeni yenu kufutwa na wafadhili!!! Ufisadi wa Serikali yenu ndio ulileta ile kashfa ya RADAR!!
 
Covid-19. and trades adviser,whats wrong with that?....!,zama za mismamo ya kina MUGABE zimeshapita,Tuko kwenye Dunia ingine kabisa,yenye kuitaji akili kubwa zaidi,shut to SABC.
Blair ana akili kubwa? Mwezi huu tu mwanzoni huko UK wametoka kumtukana kwa kukwepa kodi
 
Ushawishi wake utoke wapi? Alijiuzulu uwaziri mkuu kwa aibu kubwa sana na hadi leo anaendeela na scandal zake huko UK
Mwaka juzi alinunua jengo huko UK akakwepa kodi
Wenzetu kujiuzulu Ni kawaida tu Wala sio big deal,hata bongo Mwinyi aliwahi kujiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani na akaja kua rais.

Hujui tofauti ya tax evasion vs Tax Avoidance mzee.Jikalie kimya jomba
 
Hata Mimi nilishangaa mtu aliyetuuzia Rada kwa Bei mbaya Tena viongozi wetu wakapewa rushwa, waziri wake alijiuzulu kwa kuona tunavyopigwa.
Juzijuzi ameumbuliwa na BBC tukisema tuna rais asiye na uwezo anatoka mtu hata hakujui anakuita sukuma gang Sasa badala ya kusafishwa kimataifa tunachafuliwa kimataifa
 
Namkumbuka vizuri tu, yeye pamoja na Gordon brown walimueleza tony Blair kuhusu ilo suala la radar na wakashauri waliache. Ila blair alikataa sababu kulikuwa na maslahi yake, Sasa Kama alishauriwa kwa nini alikataa huo ushauri?
Alafu unataka kusema wote waliopata chanjo walimtumia Blair kuzipata? Acha hizo
 
Kwani yeye Mh. Tony Blair alitulazimisha kununua hiyo rada?
cc: Bulesi

Remember Serikali ya Uingereza haitengenezi RADAR! Viongozi wa Serikali yenu ndio walikuwa mafisadi wakubwa wakutaka 10% kwenye ununuzi wa ile RADAR na hata baada ya watu waliohusika kutajwa hakuna hatua zozote za kisheria walizochukuliwa!!! Blair had nothing to do with the 10% that the then GOVERNOR OF BOT and the ATTORNEY GENERAL stashed in their foreign accounts!
 
[emoji16][emoji16] Walaumuni ndg zenu Sailesh Vithlani,Tanil Somaiya kwa kuwaingiza Chaka.
Kama hao ndio wa kulaumu, ilikuwaje bunge la uingereza likamshutumu Blair na hadi mwana mama Clare short alikuja Tanzania.
Yaani tulisubiri Hadi wabunge wa uingereza kututetea kwenye kuibiwa radar, sisi wenyewe tunaona sawa.
 
Kama hao ndio wa kulaumu, ilikuwaje bunge la uingereza likamshutumu Blair na hadi mwana mama Clare short alikuja Tanzania.
Yaani tulisubiri Hadi wabunge wa uingereza kututetea kwenye kuibiwa radar, sisi wenyewe tunaona sawa.
Sasa Kama viongozi wa nchi yetu walishiriki kwny mgao wa pesa sisi wanyonge tufanye Nini?
 
Sasa Kama viongozi wa nchi yetu walishiriki kwny mgao wa pesa sisi wanyonge tufanye Nini?
Wapi nimesema viongozi wetu hawakushiriki? Nimesema walishiriki oamoja na Blair, wewe ndio unakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…