SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Alafu unataka kusema wote waliopata chanjo walimtumia Blair kuzipata? Acha hizo

Kumbuka nchi za kiafrika nyingi zilianza kupata msaada toka WHO wakati nyinyi na Jiwe wenu mlikuwa mnajifukiza NYUNGU!! Sasa mmezinduka baada ya JIWE kutwaliwa ni lazima mkimbie ili muweze kunusulika na kuchelewa kwenu na ndio maana akili kubwa ikatafuta mtu anaeweza kumuingia BIDEN na kufanikisha hilo!!! Rwanda wanamtumia Blair, unaona Mafanikio yao wewe bwege unaeniita mimi mtoto wa nursery?
 
Heeh ingekuwa hivyo bunge la UK lisingemuajibisha, kwa kuwa hakuna binadamu perfect
Sasa mkuu unadhani Ni Kama hili Bunge letu ambalo Rais(Magu) anakwambia Ndungai(Mkuu wa mhimili mwingine) eti wewe wabane huko bungeni huku nje niachie Mimi,tena anaongea hadharani kabisa?Hapo Kuna Bunge au rubber stamp?

Huko nje ndio Kuna mabunge Sasa,sisi huku Ni mizaha.
 
Mkuu Burundi pia walikuwa Kama Tz, mwanzo walizikataa. Ila mbona hawakumtumia Blair kupata tena hizo chanjo?
Unaitolea mfano Rwanda kwenye nini? Be specific ili twende sawa, wewe ni mtoto wa nursery. Leo nakupa shule bure.
 
Una udhaifu wa reasoning. Nchi gani ya Afrika hii itakuona wewe ni wa maana kwa kuwa na mshauri wa uingereza? Ina maana Tanzania hii hakuna mtu wa kumshauri juu ya mambo rahisi kama hayo! Huyu Blair si ndiye ametajwa juzi kwa ukwepaji kodi? He is morally and ethically dead!
Matatizo ya SA unayoeleza ni kama unatuonesha kwamba SA unaijua lakini, hayana uhusiano ya uzembe wa rais wetu.
 
Ona unavyojichanganya, wewe ulisema Blair hausiki. Ndio nikakuambia Kama hausiki bunge lisingemuwajibisha
 
Wapi nimesema viongozi wetu hawakushiriki? Nimesema walishiriki oamoja na Blair, wewe ndio unakataa
Ndio imeisha hio,komaeni na BAE Systems huyo Blair hamna Cha kumfanya zaidi ya kulia Lia tu mkuu.
 
Ona unavyojichanganya, wewe ulisema Blair hausiki. Ndio nikakuambia Kama hausiki bunge lisingemuwajibisha
Si unaona kichwa yako ilivyo na shida,Blair aliwajibishwa kwa sababu ya Scandal ya radar ya Tz?
 
Ndio imeisha hio,komaeni na BAE Systems huyo Blair hamna Cha kumfanya zaidi ya kulia Lia tu mkuu.
Uwezo wako hapo ndipo ulipoishia, wapi nimesema nina cha kumfanya?
 
Uchambuzi mzuri unaoonyesha dalili zote za mtu aliyesoma halafu akaelimika. Nakuombea Mama akukumbuke siku moja hata kwenye post ya ubalozi mdogo ili ukasaidiane na Balozi wetu huko New York City
Like dissolves like! Ukiwa hujui, unawasifu wenzako wasiojua. FINITO!
 
Ukitumwa mambo ya kipuuzi kataa hata kama ni mjumbe yasije yakakupata ya OLE SABAYA!!!
Ndio maana nakuambia wewe ni mtoto wa nursery.
Huna unalojua, Ila ntakupa elimu bure kabisa
 
Kwanza unamuelewa Tonny Blair ni nani? Hakuwa kiongozi mzuri unapozungumzia mambo ya Afrika na hasa nchi za SADC, Tanzania ikiwa ni sehemu yake. Ndiye mtu ambaye aliingiza mkenge UK kuifuata US ya Clinton na US ya Bush hadi kuivamia Iraq bila sababu. Hakuwa na independent mind hadi akaitwa Tonny Brinton kwa jinsi alivyokuwa anamfuata Clinton kwa kila jambo.

Akahamia kwa Bush hadi akaambiwa kama Bush ni mbwa, basi Blair ni mkia wa mbwa. Kwa ujumla usimpe sifa labda kama wewe ni mfuasi wa wazungu. Hakuwa kiongozi mwenye akili kama sisi na Kikwete wetu.
 
Mnaonaje nchii ikauzwa alaf kilammoja akakatiwa chake akatafta kwakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…