Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

Ngojeni apige marufuku mkose bidhaa bora kutoka nje.Suala ni ubora sio bidhaa inatoka wapi.Kama bidhaa zetu hazina ubora tutumie tu eti kujenga uchumi wetu .Boresheni bidhaa tusikubali kuliahana bidhaa duni
Well said,ni kama mtu aniambie niangalie bongo movies,eti kuwainua wasanii wa nyumbani,wsboreshe kazi zao kwanza
 
Halafu kweli sabuni ya mbuni ilikuwa ya Tanga na Ilula ndyo ilikuwa ya Mwanza , ila kwa ubora zilikuwa sawa. Kama bado zinatengenezwa wsmeridhika na kuuza huko kwenye kanda zao. Ubora wa sabuni ni kutokuwa na caustic soda nyingi.
 
Kweli kabisa Sabuni ya jamaa,mafuta ya nazi ya minara,colgate,omo,ariel,blue band yaani bidhaa za uniliver hazina mshindani tanzania.Kuna masabuni ya unga ya MO ukifulia mikono lazima itoke vipele
Mimi ningekuwa mzee wa" hapa kazi" nawakamata matajiri wote bongo nawapeleka segerea mwezi mzima halafu mwezi unaofuata ninakwenda kuonana nao niwaulize ni kwanini bidhaa hizo muhibu bado zinaingia nchini kutoka nje? na niwape wiki moja waje na suluisho la haraka. Afadhali AZAM kidogo anajitahidi haiwezekani rasilimali zitoke kwetu halafu tuletewe readmade tutumie wakati kuna watu wana mahela wameyafungia.
 
AZAM ovyo kabisa mbele ya Inyange
 
AZAM ovyo kabisa mbele ya Inyange
Iyange ndio nani hapa bongo mbona ndio namsikia leo. Namjua MO, MENGI NA AZAM ambao ni wazalishaji wa vyakula wanaoweza kusambaza Tanzania nzima sasa huyu Iyange ni nani na anatengeneza bidhaa gani?
 
Msisahau na chumvi, sehemu kubwa ya chumvi nzuri inayouzwa Tanzania inatoka Mombasa, afadhali kidogo sasa ivi nimeona chumvi nyeupe toka Kigoma ila cjui kama wana mpango wa kushindana na zile za Kenya! Tatizo kubwa la wazalishaji wa tz wanakosa ubunifu.
Kwakweli inaumiza ,bidhaa kama chumvi ambayo hahitaji teknolojia kubwa kihivyo tunashindwa Ku compete na Kenya!?
 
nje ya mada kidogo hivi baada ya ile blue band ya kibongo kwa jina Tandbond kupotea kuna kiwanda cha blueband tena hapa bongo?
Kaka sio Blue band inaitwa Margarine kiswahili Siagi kama sijakosea ukisema "Blue band" au "Tanbond" ni just Brand.
 
Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini.

Swali langu ambalo nataka kuwauliza wadau, je, ni kweli watanzania wameshindwa kabisa kuanzisha viwanda bora vya ku-compete na sabuni ya jamaa?...kwa nini tuendelee kuwanufaisha majirani zetu miaka yote hiyo?
Watu wameishia kutengeneza sabuni za magadi halafu chakubanga anaenda kuzindua
 
Mimi ningekuwa mzee wa" hapa kazi" nawakamata matajiri wote bongo nawapeleka segerea mwezi mzima halafu mwezi unaofuata ninakwenda kuonana nao niwaulize ni kwanini bidhaa hizo muhibu bado zinaingia nchini kutoka nje? na niwape wiki moja waje na suluisho la haraka. Afadhali AZAM kidogo anajitahidi haiwezekani rasilimali zitoke kwetu halafu tuletewe readmade tutumie wakati kuna watu wana mahela wameyafungia.
Una miaka mingapi mkuu?
Una elimu gani?
Kabla sijajibu hii coment yako,ni muhimu nijue hivyo vitu
 
Msisahau na chumvi, sehemu kubwa ya chumvi nzuri inayouzwa Tanzania inatoka Mombasa, afadhali kidogo sasa ivi nimeona chumvi nyeupe toka Kigoma ila cjui kama wana mpango wa kushindana na zile za Kenya! Tatizo kubwa la wazalishaji wa tz wanakosa ubunifu.

Huku bongo wazalishaji hawako huru, utaanzia Sido, TBS,TFDA, OSHA, TRA, halmashauri, police, uhamiaji, NEMC, na wanasiasa wote wamenyuti nje wanataka uanze ili kila mtu akueleweshe namna ya kuzalisha bidhaa bora na kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom