Mweweso
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 688
- 755
Well said,ni kama mtu aniambie niangalie bongo movies,eti kuwainua wasanii wa nyumbani,wsboreshe kazi zao kwanzaNgojeni apige marufuku mkose bidhaa bora kutoka nje.Suala ni ubora sio bidhaa inatoka wapi.Kama bidhaa zetu hazina ubora tutumie tu eti kujenga uchumi wetu .Boresheni bidhaa tusikubali kuliahana bidhaa duni