SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

Kma mimi ndo nafanya vetting basi this hyu anafaa kuwa askari mkuu wetu.
Amekuteka kirahisi hivyo kumbe. Lakini sishangai, huo ni ushahidi kuwa amefuzu mafunzo. Hawa ni walewale, hana tofauti na Siro, Mahita na wengine ambao umewahi kuwasikia.
Anachodhihirisha hapo ni mojawapo ya maarifa yake na mbinu za kazi anayofanya.
 
Huwezi kuwa igipii kama ujawahi umiza wapinzani.
Maana tegemeo la ccm ni police na sio sanduku la kura.
 
Nmeona video yake ya zaman

Aiseee unaweza kusema ni watu wawili tofauti

Sijui kuna shida gani nchini.
Mimi pia nilisema hivi IGP si huyu,,, kumbe ni linafiki moja la hatari sana.
 
kama yupo afande yoyote mwenye kujitambua kama huyu ajitokeze ili tuone yupi kati yenu atafaa kusimamia usalama wa nchi badala kusimamia usalama wa CCM kama anavofanya Sirro.
 
Back
Top Bottom