Sawa Baba Irene (SASP Abwao) tumekuelewa.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.
Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.
Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.
Intelijensia imewapa majibu kwamba THIS TIME IS FOR REAL!Yako wapi hayo maandamano? Acheni kukuza maandamano yasiyokuwepo, naona wakuu wa vyombo vya habari nao wameingia mkenge wakishupalia mambo yasiyokuwemo. Mnaitia hofu nchi bure, kama ni kupiga kura nendeni tu hakuna wa kuzuia uchaguzi huo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.
Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.
Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.
Tabora hadi kuna maghorofa Na lami? Hizi picha ni AI asee.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.
Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.
Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.
Umejipu km mchepuko wake wa wanne ambao anavinjari nao pale ofisini kwake kwenye vyoo vya dharula kupunguza uzitoSawa Baba Irene (SASP Abwao) tumekuelewa.