Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 461
- 498
Wanakuwaga na vibe sana hao watuYaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mishangingi inajua kukamata wanaume.
Yaani kuna lishangingi limoja limeingilia familia yetu kuna siku tulikuwa msibani mama mkubwa akauliza "hivi huyu ni linani mbona hafananinii na sisi wote hapa"
Mishangingi bana inakuwa unique sana
ukiweka mwendelezo usinisahau mkuu.Yalishapita kitambo mkuu
Alikuwaga pot enzi hizo. Lakini pia anapigana kwa kuvizia na kushtukiza [emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee wako mbona ni hatari.
Yani wewe jitu ushabeba vipeto huko migodini, ushapiga jembe mpaka basi.
Ila mzee anakukalisha mpaka unatoa nnya [emoji23][emoji23].
Mzee wako aishi dar awasaidie wanaume wa dar kupambana na panya rodi.