Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mishangingi inajua kukamata wanaume.
Yaani kuna lishangingi limoja limeingilia familia yetu kuna siku tulikuwa msibani mama mkubwa akauliza "hivi huyu ni linani mbona hafananinii na sisi wote hapa"
Mishangingi bana inakuwa unique sana
Wanakuwaga na vibe sana hao watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee wako mbona ni hatari.
Yani wewe jitu ushabeba vipeto huko migodini, ushapiga jembe mpaka basi.
Ila mzee anakukalisha mpaka unatoa nnya [emoji23][emoji23].

Mzee wako aishi dar awasaidie wanaume wa dar kupambana na panya rodi.
Alikuwaga pot enzi hizo. Lakini pia anapigana kwa kuvizia na kushtukiza [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom