Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

"Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank?.....


emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ha ha ha ha nimecheka
 
Mzee wako nae itakua alikua mtu wa totoz kinoma na alishafumaniwa mara nyingi ndo maana kwa maza anakua mpole anajua makosa yake
Huenda ikawa, maana story yake haipo clear. One day nitamuuliza, ngoja nimlie timing [emoji28][emoji28]
 
Analyse kwamba ulikulia kiunoni?
ahhahahahahahhahahha NIMECHEKA MPK SIJIELEWI!

daah!
Baba Analyse mi ni fan wake namba 1, namuadmire san huyu mzee.
Msalimie sana mshua , mwambie binti yake wa hiyari anamsalimia.

Salamu zimefika mkuu [emoji120]. Kumbe wewe ni Ke? [emoji848]
 
Babako nampenda mnooo.
Yan niko na picha yangu kichwani hivi Mzee mmoja peace af mtata sana.
mi sipendagi watu wepesi wepesi.
Huyu baba mimi ni role modo wa aina ya nataka mtoto wangu wa kiume awe.
Ntaanza kumfundisha ngumi aiseeeh
Ukimfundisha angalia asije kukukazia na wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ulimtelezesha Mke wa bosi kwenye malumalu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mm nakumbuka nikiwa darasa la tatu nilimtega nikamuangusha mtoto wa Mwalimu,nilikula viboko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa boss alikuwa na gubu sana yule mwanamke. Nilimuwekea maji yenye sabun ya unga kwenye tiles, alipiga kichwa chini hadi nikahisi nimeua [emoji28][emoji28][emoji28]

Nikatimuliwa kazi kizembe tu [emoji26]
 
umfundishe ngumi akudunde mwenyew ukimbilie kumfukuza[emoji16]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ngumi z8na nidhamu.
Stadi yoyote ya maisha ina misingi yake.

Kumfundisha ngumi ni pamoja na kumwambia wapi azitumie.
Sisi wengine tunalea watoto wa kiume ili kuandaa wanaume wa kulinda Mali, Familia , Kujilinda.
Mtoto wa Kiume lazima awe tu Mwanaume.
UANAUME ni pamoja na kujua KUPIGANA.
 
Salamu zimefika mkuu [emoji120]. Kumbe wewe ni Ke? [emoji848]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Omerta kwamba sina Haiba za kike yani?
Dah!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 as af ndo nisitamani dogo awe tu mgumu yani.
See?
Mamake mwenyewe sisomeki.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omerta kwamba sina Haiba za kike yani?
Dah!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] as af ndo nisitamani dogo awe tu mgumu yani.
See?
Mamake mwenyewe sisomeki.
Hapana, sio issue ya haiba. Jina lake liko plain sana. Halina indications za ukike [emoji28]
 
Hapana, sio issue ya haiba. Jina lake liko plain sana. Halina indications za ukike [emoji28]
Imagine hapo ndo metafuta jina lililokaa kike kike.
hakyamama mekwisha.
Omerta unaona mshkaji? uje unifundishe kuunda majina ya kike.
Probably an Italian?
 
Back
Top Bottom