Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ikawa, maana story yake haipo clear. One day nitamuuliza, ngoja nimlie timing [emoji28][emoji28]Mzee wako nae itakua alikua mtu wa totoz kinoma na alishafumaniwa mara nyingi ndo maana kwa maza anakua mpole anajua makosa yake
Tumesikia na tumeonaMwenyewe macho na aone na mwenye masikini na asikie....!
Tunaendelea kujifunza....
Ukimfundisha angalia asije kukukazia na wewe[emoji3][emoji3][emoji3]Babako nampenda mnooo.
Yan niko na picha yangu kichwani hivi Mzee mmoja peace af mtata sana.
mi sipendagi watu wepesi wepesi.
Huyu baba mimi ni role modo wa aina ya nataka mtoto wangu wa kiume awe.
Ntaanza kumfundisha ngumi aiseeeh
Mke wa boss alikuwa na gubu sana yule mwanamke. Nilimuwekea maji yenye sabun ya unga kwenye tiles, alipiga kichwa chini hadi nikahisi nimeua [emoji28][emoji28][emoji28]Ulimtelezesha Mke wa bosi kwenye malumalu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nakumbuka nikiwa darasa la tatu nilimtega nikamuangusha mtoto wa Mwalimu,nilikula viboko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngumi z8na nidhamu.umfundishe ngumi akudunde mwenyew ukimbilie kumfukuza[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ah wapi.Ukimfundisha angalia asije kukukazia na wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana, sio issue ya haiba. Jina lake liko plain sana. Halina indications za ukike [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omerta kwamba sina Haiba za kike yani?
Dah!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] as af ndo nisitamani dogo awe tu mgumu yani.
See?
Mamake mwenyewe sisomeki.