Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wajinga ndio waliwaoJuzi Bi mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.
Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe uwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
Watu wako brainwashed kabisa, huo ni ujinga unamtajirisha tapeli Mwamposa mchana kweupe kwa uvivu wa kufikiri.Juzi Bi mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.
Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe uwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
kuna mke wa mtu huko kigamboni dar es salaam alipewa ahifadhi milioni kumi 10 ya maendeleo, mwanamke akaenda kujimaliza na milioni 10 kwa mwamposa, mumewe alipoitaka pesa akaambiwa nimejimaliza baada ya siku tatu ntarudishiwa, jamaa akafura kama Mamba, akazama kwa mwamposa akapiga bonge la mkwara akarudishiwa pesa yake, ni habari very recentJuzi Bi mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.
Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe uwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
Afya ya akili mkuuJuzi Bi mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.
Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe uwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
Wakati tunajadiri issue ya Mwamposa msisahau na issue za ccm nao ni kansa vilevileTunaangamia kwa kukosa maarifa
Nje ya mada kidogo: Hivi ''bi mkubwa'' huwa ina maana gani? Ni uhusiano wa aina gani?Juzi Bi mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.
Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe uwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
Hapo familia inayo kombolewa na ya baba mchungaji..Karibu madhabahu ya Dokta mtume na nabii Mwamposa ule keki ya upako na ukanyage mafuta...tupo kwenye opareshen komboa familia.
Acha kulia anza kuamini.
#MaendeleoHayanaChama