Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hata ningekuwa Mimi, siku hiyo pangechimbika.kuna mke wa mtu huko kigamboni dar es salaam alipewa ahifadhi milioni kumi 10 ya maendeleo, mwanamke akaenda kujimaliza na milioni 10 kwa mwamposa, mumewe alipoitaka pesa akaambiwa nimejimaliza baada ya siku tatu ntarudishiwa, jamaa akafura kama Mamba, akazama kwa mwamposa akapiga bonge la mkwara akarudishiwa pesa yake, ni habari very recent