Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

Kuna siku niliwahi kumwambia mtu hivi hawa wachungaji unaskia kazaa nje na kimada flani ah kafumaniwa mahali inakuwaje na sisi tunawaangalia kama viongozi wetu? Na waumini wake wanakubishia yani huwaambii kitu wanakwambia shetani yuko kazini. Siko hapa kuhukumu lakini, wewe unatuhubiria neno la Muumba ila unafanya uchafu hadi sisi tunaujua, na tusioyajua ni mangapi? Waumini wanakwambia, hao pia ni wanadamu, sawa ndo uzini hadi uzae na vimada tena sio mmoja? Watumishi Wengine hadi wanatelekeza ndoa. Huwezi kuniwekea mkono ukanipa upako kwakweli. Integrity huna.
 
Ila pale kwa Mwamposa kuna baadhi ya vitu havipo sawa. Kuna mzee alipata ajali akavunjika mguu Musoma. Ndugu yake akaamua kumleta Dar kwa matibabu zaidi. Alipofika huku akiwa katika matibabu ya hospitali (ikiwa anatumia magongo kutembelea) akasikia kuhusu Mwamposa.
Akaamua kwenda kuombewa huko. Alipofika akaitwa mbele kwenye ibada maalum akaambiwa atupe magongo keshapona. Sasa sijui ilikuwa mzuka wa imani akaweza mpaka kutoka nje ya kanisa. Kufika kituoni kwa kuchechemea mguu ukamchachia hakuweza kutembea tena na pesa yote katoa sadaka ya kujimaliza. Ikabdi apigie simu ndugu waende kumchukua. Na mpaka kupona kwake ilibidi kutumia fimbo ya fagio maana magongo aliacha kanisani.
😃😃hatari
 
Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.

Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.

Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote ulichonacho ili ubarikiwe zaidi.

Nikamuuliza Bi mkubwa na wewe huwa unajimaliza? Akanijibu ndio kuna siku nilijimaliza nikakosa mpaka nauli nikachoka.
Inanikumbusha filamu ya kinaigeria Kuna muhubiri Fulani alikuwa hivyoo anahama mikoa na mikoa anafilisi watu hadi Kuna siku akauwawa nyumbani kwake kosa ni kuchukua Mali za watu maelfu ya waislamu kosa mafuta ya upako wamebadilisha dini
 
Umemaliza.
Siku ukianza kuwaamini mitume feki jua umejimaliza.
Mtu asiyekemea dhambi wala kufundisha wokovu...huyo ni mtumishi fake.
Lazima mtumishi wa Mungu ahubiri kumpenda Mungu na kuacha dhambi
Wewe mtumisho original umeacha dhambi??
 
Natoa Rai kuw msingatieni Sana mwamposa msimpuuze Kuna kitu ndani yake ambayo wengi hawana

Mm Sina neno nao Kama Ni wa mungu bas sawa Kam si nabii wake ni tapeli ila nijuacho mm anakitu ndani yake
Shuhuda zake azielezeki maelfu humfata je Ni Nani huyu
 
kuna mke wa mtu huko kigamboni dar es salaam alipewa ahifadhi milioni kumi 10 ya maendeleo, mwanamke akaenda kujimaliza na milioni 10 kwa mwamposa, mumewe alipoitaka pesa akaambiwa nimejimaliza baada ya siku tatu ntarudishiwa, jamaa akafura kama Mamba, akazama kwa mwamposa akapiga bonge la mkwara akarudishiwa pesa yake, ni habari very recent
Yaan mimi ningempiga chini huyo mwanamke mpuuzi
 
kuna mke wa mtu huko kigamboni dar es salaam alipewa ahifadhi milioni kumi 10 ya maendeleo, mwanamke akaenda kujimaliza na milioni 10 kwa mwamposa, mumewe alipoitaka pesa akaambiwa nimejimaliza baada ya siku tatu ntarudishiwa, jamaa akafura kama Mamba, akazama kwa mwamposa akapiga bonge la mkwara akarudishiwa pesa yake, ni habari very recent
Ya Kweli haya ama
 
Ila pale kwa Mwamposa kuna baadhi ya vitu havipo sawa. Kuna mzee alipata ajali akavunjika mguu Musoma. Ndugu yake akaamua kumleta Dar kwa matibabu zaidi. Alipofika huku akiwa katika matibabu ya hospitali (ikiwa anatumia magongo kutembelea) akasikia kuhusu Mwamposa.
Akaamua kwenda kuombewa huko. Alipofika akaitwa mbele kwenye ibada maalum akaambiwa atupe magongo keshapona. Sasa sijui ilikuwa mzuka wa imani akaweza mpaka kutoka nje ya kanisa. Kufika kituoni kwa kuchechemea mguu ukamchachia hakuweza kutembea tena na pesa yote katoa sadaka ya kujimaliza. Ikabdi apigie simu ndugu waende kumchukua. Na mpaka kupona kwake ilibidi kutumia fimbo ya fagio maana magongo aliacha kanisani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuna mke wa mtu huko kigamboni dar es salaam alipewa ahifadhi milioni kumi 10 ya maendeleo, mwanamke akaenda kujimaliza na milioni 10 kwa mwamposa, mumewe alipoitaka pesa akaambiwa nimejimaliza baada ya siku tatu ntarudishiwa, jamaa akafura kama Mamba, akazama kwa mwamposa akapiga bonge la mkwara akarudishiwa pesa yake, ni habari very recent
Acha uongo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom