Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

Hata ningekuwa Mimi, siku hiyo pangechimbika.
 

Ulitaka umshauri Uzinzi/Zinaa.
 
Na chakushangaza hao ndio watu wengi hapa nchini,yani kati y watu 61Million labda 50M wako hivyo.
 
Alitakiwa amuache huyo mwanamke....

Wanawake wanaamini sana wachungaji na waganga
 
Huyu jamaa ni mhuni sana. Mbona yeye hajimaliza lakini anawahimiza waumini zake tu ndio wajimalize? Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Majinga hayo acha yapigwe.

Mengine si hameambiwa yaoane mawanaume huko

Dini zenu hizo ni upuuzi
 
kwani walitumwa? ayamalize tu shubaamiti zao yani watu wanaacha imani za ukweli wanaenda kutafuta miujiza kwa awasanii wauza mafuta, wapigwe tu maana hakuna namna sasa, shenzy kabisa hao.
 
"Toa ndugu toa ndugu ulichonacho weweeee, bwana anakuonaaaa mpaka moyoni kwakooo"

Yupo Mungu, ambae anaangalia kila kitu unachokifanya, ukikosea, anaweka rekodi, ili aje hakuadhibu siku moja, ila ili umpendeze, inabidi utoe pesa/sadaka kwake, aaah no kwa wawakilishi wake, ! !!!
 
Jamaa anawakamuaaaa mpaka mpaka anawatoa maji

Ova
 
Hahahah Mkuu Mamba huwa anafura vipi?
 
Hahahah Mkuu Mamba huwa anafura vipi?
Hapa duniani wajinga ni wengi sana kuliko werevu
 
Ufuasi Dini hauna tofauti na madawa ya kulevya
 
Dah majamaa waliona itakuwa soo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…