jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Shida ukipewa mimba na waarabu hadi akili zinapotea kwa mahaba..miji yote ya waarabu pembezoni mwa bahari au pwani ndio ilikua lango kuu la bisahara za watumwa kwenda ulaya na marekani..anzia tu pwani ya afrika mashariki utapata jibu..hao ndio walikua madalali wa wazungu katika biashara ya watumwa ..unataka kubisha nini.Aliyeanzisha biashara ya utumwa mreno,huko Congo brazaville ya leo,miaka ya 1400,aliwapeleka kulima miwa amerika,kipindi hicho sukari ni Kama mafuta leo,ilizua Vita miongoni mwa wazungu,meli za watumwa kuelekea Portsmouth uingereza zilijaa unyama kwa watumwa,Portsmouth harufu ya mizoga ya binaadam ilisikika meli ikiwa zaidi ya 40m baharini,hapo mzungu Wala hauziwi watumwa na mwarabu,ukitaka kujua Nani alikua mfanya biashara ya utumwa we angalia ilkwishaje,walipogundua viwanda wazungu na biashara ikaisha,acha kukariri ujinga ulioimbishwa shule ukilenga kupiga Vita utamaduni wa mwarabu
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app