Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Shida ukipewa mimba na waarabu hadi akili zinapotea kwa mahaba..miji yote ya waarabu pembezoni mwa bahari au pwani ndio ilikua lango kuu la bisahara za watumwa kwenda ulaya na marekani..anzia tu pwani ya afrika mashariki utapata jibu..hao ndio walikua madalali wa wazungu katika biashara ya watumwa ..unataka kubisha nini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika mashariki ilitoa watumwa laki 8 mpaka milioni,watumwa wengi walitoka afrika magharibi,dalali alikua Nani afrika magharibi?..tofauti ya dalali na mfanya biashara ni nini!?...unafikiri sawasawa!!?
 
Mchungaji akitaka gari anachangiwa na waumini ila muumini akitaka gari anafanyiwa maombi.Kweli hii dunia haina usawa
Mtafute huyu sheikh shariff majini uone anachofanya ndipo uongee , katika ukristo ukiona watu wanajaa kwa mchungaji ujue mambo yao yanaenda sio nyinyi din yenu ni kama sheria tu chunguza bila ushabiki tu
 
Naona kitumbua chako kimemwagiwa mchanga ndio maana unapayuka sana
Kwa taarifa yako mimi ni muumini tu wala sio mchungaji au padri naongea nachokiona, na wewe je??!! Unapinga kitu wakati din yenyewe haikuhusu??!! Mi naona ni vizuri ukapambana na uislam wako tu ingependeza zaidi
 
Zingatia kuwa dini zimeundwa na watu kwa masilahi yao. Unatishiwa utaenda motoni usipotoa sadaka. Ninaona watu wamepumbazwa kiasi cha kukubali bila kuhoji! Toa sadaka yako ya hiyari kwa jirani unaemfahamu kuwa ana shida, usitajirishe wajanja. Kuna mmoja kanunua helicopter kwa sadaka za watu, tunashangilia kama mazuzu.
 
Mtafute huyu sheikh shariff majini uone anachofanya ndipo uongee , katika ukristo ukiona watu wanajaa kwa mchungaji ujue mambo yao yanaenda sio nyinyi din yenu ni kama sheria tu chunguza bila ushabiki tu
Kwa mafundisho sahihi ya Uislamu anavofanya yy sio sawa
 
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa.uliacha yote na kumfwa yye vingine utazidishiwa ni neema juu ya neema.
 
Mimi huwa najiuliza kwanini wale wa upande wako ni masikini sana na hawana elimu ya kutosha? Kwa elimu duni nadhani ni kwa sababu ya kujikita na vitu vya kusadikika badala ya elimu ya hapa hapa wanapoishi. Huyo katoza kodi kwenye road reserve mwingine anafuga majini, kudadeki.
 
Na wewe endelea kufuga majini
 

kwel hili ni lifala libogaz kabisa utakuta linaongea hv alaf maisha ya kwao ovyo acha kujimwambafy mshamba wq
 
Ngome ya Yesu Kimara Temboni
1) lipia kadi ya partenership
2)Damu ya Yesu
3) Mchango wa ujenzi
4) Kuongea na Yesu
5) Kumuona Kuhani Musa 100000
6)fungu la kumi
7) Maombi maalum 100000
8)sadaka
9) kumuona mtesi"😅wako 10000)/
10) kupata utajiri
11) kupata cheo
KuponaHIV, FIGO KUPATA MTOTO 200000
WIZI mtupu
 
Ulienda kanisa gani? Parokia gani?

Hatuna huo utaratibu bwashee acha kupakaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…